Ghana mitaa ipi tena? Tunaweza pata hata picha Boss? Kfua wazi/ Freedom / Green view?Hv Sasa hv nipo hapa maeneo ya ghana kuna gorofa naona linajengwa sasa hv naona wapo floor ya sita nahisi hilo jengo watajenga floor 10
Of course , Wilaya ya Kisesa haiepukiki.Ofcourse,mi nakushauri ..Kwa sababu zifuatazo ..
ujio wa wilaya ya kisesa...by 2025 itakuwa ni agenda ya kushawishi apate kura ..
Bus za Musoma zinapita njia hiyo kutokea wapi?barabara hyo inazidi kuwa ya mkakati usafiri wa mabus ya musoma ,malori ,na mabus yaendayo nyamhongolo Toka mikoani yatakuwa yanapita .
Ujenzi wa sGr .ambapo mji wa fela utaungana na kisesa kupitia hayo maeneo .
Wengi wamadai Kishiri changamoto ina milima sanaMaeneo strategic mwanza ukinunua kiwanja unakuwa umefanya uwekezaji wa maana .ni haya [emoji116][emoji116]
6 kishiri
Musoma to dar .musoma to other regions..Of course , Wilaya ya Kisesa haiepukiki.
Bus za Musoma zinapita njia hiyo kutokea wapi?
Maana ninavyojua magari ya Musoma yanatokea Nyamhongolo huku ya Shy, Dar, yanatokea Nyegezi???!!
Kishiri ni kubwa ,,,imextend igoma,inakuja inapakana na nyamhongolo,inapakana na kisesa ,inakuja Ina border Kona ya fela,inapakana na buhongwa..Ina maeneo yote ya tambalale na milima .Wengi wamadai Kishiri changamoto ina milima sana
Ukiwa pale sheli ya olimpiki ukienda kama pasiansi mita 100 kuna jengo lipo floor 6 na ujenzi bado unaendeleaGhana mitaa ipi tena? Tunaweza pata hata picha Boss? Kfua wazi/ Freedom / Green view?
Mitaa ya Green ViewUkiwa pale sheli ya olimpiki ukienda kama pasiansi mita 100 kuna jengo lipo floor 6 na ujenzi bado unaendelea
Lami imefika Kahama?Leo nilikuwa kahama buswelu aisee kumbe Lami ilishafika huko wametengeneza had parking nzur ya stand ya coaster nzur sana kilichonifurahisha nimekuta kuna sheli ipo finishing ina floor 2
Tena mbele kabisa karibu na njia panda ya barabara ya kwenda txLami imefika Kahama?
Tunaisubiri IlalilaKahama sahv pameshakuwa centre kubwa sana vile vijumba vya ovyo vilivyopo barabaran vyote vimevunjwa watu wanajenga frame za maduka kama utitiri
Hapo Green view pembezoni mwa children day care sio...?Hv Sasa hv nipo hapa maeneo ya ghana kuna gorofa naona linajengwa sasa hv naona wapo floor ya sita nahisi hilo jengo watajenga floor 10
Ndio mkuuHapo Green view pembezoni mwa children day care sio...?
Ndio mkuu kwan wanajenga floor ngp jamaa wapo kasi sana mwez wa nne walikuwa msingiBila shaka una maanisha jengo hili mkabala na kingdom hotel
View attachment 2352849View attachment 2352851
Kwa hayo matoleo ya nondo huko juu, ghorofa ya 7 confirmed 😛Ndio mkuu kwan wanajenga floor ngp jamaa wapo kasi sana mwez wa nne walikuwa msingi