Mwanza City: The Photo Gallery

Hizo njia mpya zikikamilika zipapunguza traffic mjini kati kwa kiwango kikubwa sana.
 
Nimemependa namna unavyoeleza experience yako .
 
Mwasonge ipo mbele ya nyakagwe na bulale hyo ipo wilaya ya misungwi nyuma ya mita 200 ndio mpaka wa wilaya ya nyamagana na misungwi mbele yake ni njia inaenda kutokea bukumbi kwny Lami ya usagara
HIV ni eneo ambalo linapakana na ziwa ukiwa pale buhongwa,unaona Kwa mbali kama swamp flan Kuna Majengo mengi panaitwaj
 
Mwasonge ipo mbele ya nyakagwe na bulale hyo ipo wilaya ya misungwi nyuma ya mita 200 ndio mpaka wa wilaya ya nyamagana na misungwi mbele yake ni njia inaenda kutokea bukumbi kwny Lami ya usagara
Oky ..ndio Iko upande wa dampo la buhongwa!!?
 
Five stars hotel ndio hotel za namna gani?
Ni hotel zenye standard ya juu ya kimataifa.yaani hata rais wa nchi anaweza kulala humo...lazima ziwe na huduma zote na zenye wa Hali ya juu.. lodging, restaurant,internet connectivity,bar ,lounge, parking, playground,nk
 
kuna mtu kauliza kama kuna five stars hotel mwanza. hotel zilizopo kwasasa hakuna five star ila zilizopo ni nzuri tutaupload picha zake. The only five star hotel ni ile ya nssf ambayo bado ipo kwenye ujenzi.
Five star ndio zikoje?
 
Ni hotel zenye standard ya juu ya kimataifa.yaani hata rais wa nchi anaweza kulala humo...lazima ziwe na huduma zote na zenye wa Hali ya juu.. lodging, restaurant,internet connectivity,bar ,lounge, parking, playground,nk
Yaani lodge, internet, bar, lounge, na parking Mwanza hakuna hotel yenye vitu hivyo? Playground sijaelewa ni nini, uwanja wa mpira au?
 
Playground ni eneo la kuchezea na kuburudika ,mfano eneo la watoto .au swimming pool..lakin hizo nimetoa mfano tu wa huduma ambazo hotel ya nyota Tano inatakiwa iwe navyo japo pia sio kila five star Ina hvyo vitu ..
 
Asante sana mkuu, naomba usichoke kunielewesha. Huwa pia zipo hotel za nyota nne na nyota sita au huwa ni nyota tano tu?
 
Mara nyingi mwisho nyota 5
Kwa ubora Huwa wanaanzia kupima nyota 3 inakuwa kidogo na vigezo international na business class au watalii ..
Mwanza Inayo mwisho 4.5 stars
nyota 3
Kingdom hotel,la kairo ,mwanza hotel, pigeon hotel, Victoria palace ,g.g hotel,adden palace,antelepo
Nyota 4
Ryan's bay,tilapia, gold crest,wag hill
Nyota 4.5
Malaika Beach resort
Nyota 5
NSSSF ujenzi unaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…