Mwanza City: The Photo Gallery

Wanaogopa kuondoleewa bila fidia 😀😀😀😀
Hakika. Fela hakuna harakati za ujenzi Kama Usagara ( Nyanshishi ), Kisesa, Ilalila, Masemere huko.

Sehemu nyingine iliyopooza ni Kigongo ferry.
 
Hakika. Fela hakuna harakati za ujenzi Kama Usagara ( Nyanshishi ), Kisesa, Ilalila, Masemere huko.

Sehemu nyingine iliyopooza ni Kigongo ferry.
Ujenzi unaanza mdogo mdogo Kona ya fela..ambapo inataka kuunganisha kishiri,fela na kisesa
 
Kama takwimu zitabaki hivi basi ni wakati wa kuziingiza Kisesa na usagara ndani ya jiji na kuunda municipal nyengne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…