Home Kiloleli Montessori, Makazi Mhongolo KahamaAmbacho nimegundua wengi tuliomo humu ni wenyeji wa mwanza lakini hatupo mwanza...walioko mwanza now .hawapo active kwenye Uzi ndo maana Kuna baadhi ya update hatuzipati Kwa wakati .now nipo kahama ila nikitua hapo ,, update zitakuwa za kutosha
Huyu ni mwenzangu hata mimi nimeacha mza ya Kikwete, ila nafuatilia sana mza mpaka kuna wengine huhisi niko mza.Mwaka huu lazima nitie timu Mwanza aisee!
Hilo suala sio la kujilaumu ,mambo mazuri yanakuja ,,,Mwanz n mji mkubw san ila shida ipo kwen majengo hasa marefu hayaendan na jiji kbsa ndo maan unakut miji midogo km arush na nakuru kujilinganish na mwanz sabab ya majengo hasa city centre serkal na private sector sjui kwann hazion haja ya kuwekeza kwen majengo marefu mwanz tofaut na dar na arusha,mwanz ingekua bonge la city km ingekua na hata robo ya majengo yanayopatkn dar marefu..nhc wengne wanajenga dar tu majiji mengne hayana iyo mirad ndo maan jiji linabak kua dar tu km vile mengne sio majiji
Hapa namanga,, KAHAMA,,,kahama napo panakua sana .ila miundombinu ni mibovu sana ,,pamezidiwa na shy town .Home Kiloleli Montessori, Makazi Mhongolo Kahama
Miradi ya TACTIC itabadilisha hali, Dodoma Industrial complex 12km, Town center 10km, Bus Stand, Sango Market. Nadhani miradi hiyo ikiisha wataongeza tena barabara nyingine.Hapa namanga,, KAHAMA,,,kahama napo panakua sana .ila miundombinu ni mibovu sana ,,pamezidiwa na shy town .
Wajengee na barabara ya mwime .Miradi ya TACTIC itabadilisha hali, Dodoma Industrial complex 12km, Town center 10km, Bus Stand, Sango Market. Nadhani miradi hiyo ikiisha wataongeza tena barabara nyingine.
Lol...utakuwa unapajua kwa mzee katabaro wew..marehemu sasa hiv..Home Kiloleli Montessori, Makazi Mhongolo Kahama
Majengo marefu sio hoja sana, angalia hata dodoma mji wa kiserekali majengo ni mafupi muhimu ni upangaji wa mji na barabara zijengwe.Hilo suala sio la kujilaumu ,mambo mazuri yanakuja ,,,
Yah Nyasaka saizi imebadilika sana hasa baada ya hiyo barabara inayoenda kuunga na Buzuruga kujengwa....Mimi nilikuwa natembea mara nyingi kwa miguu kutokea Pasiansi, kupitia Kiloleli, Nyasaka Cassanova mpaka Buzuruga, Nundu, Nyakato Mecco mpaka National.
Enzi hizo ni vumbi hiyo Barbara na Nyasaka bado ni nje ya mji. Naambiwa Sasa hivi hiyo Barbara ni Mkeka na Nyasaka hapashikiki
Mkuu Mbn kuna barabara ya rami ina muda mrefu tu inatokea sabasaba inaptia kiseke ppf had buswelYah Nyasaka saizi imebadilika sana hasa baada ya hiyo barabara inayoenda kuunga na Buzuruga kujengwa....
Wazazi wanaishi Nyasaka center kwa juu kidogo karibia na Shule ya Secondary Nyasaka...
Hilo eneo kwa sasa panajengeka sana mijengo ya maana pia kuna barabara ya vumbi inayounganisha barabara ile inayotoka saba saba kupita Kiseke, PPF , Nsumba hadi Buswelu na hii ya Nyasaka hadi Buzuruga...
Mi naishi Geita ila Mwanza ndio home na hua naenda karibia kila mwezi kama sijabanana hata hivi juzi Ijumaa ndio nimeridi Geita nikitoka Mwanza...Ambacho nimegundua wengi tuliomo humu ni wenyeji wa mwanza lakini hatupo mwanza...walioko mwanza now .hawapo active kwenye Uzi ndo maana Kuna baadhi ya update hatuzipati Kwa wakati .now nipo kahama ila nikitua hapo ,, update zitakuwa za kutosha
Ndio naifahamu mkuu kitu nilichokuongezea ni kwamba kuna barabara ya vumbi inaziunganisha hizo barabara 2 kutoka Nyasaka Center hadi eneo moja linaitwa Nsumba kwahiyo barabara inayotoka sabasaba kwenda Buswelu....Mkuu Mbn kuna barabara ya rami ina muda mrefu tu inatokea sabasaba inaptia kiseke ppf had buswel
Maeneo yanayoenda kuwa jamhuri (miji) inayojitegemeaNdio naifahamu mkuu kitu nilichokuongezea ni kwamba kuna barabara ya vumbi inaziunganisha hizo barabara 2 kutoka Nyasaka Center hadi eneo moja linaitwa Nsumba kwahiyo barabara inayotoka sabasaba kwenda Buswelu....
Apo Nsumba kuna shule ya Secondary Angelina Mabula...(Mbunge wa Ilemela)
Nadhani Bi Mkubwa atakuwa anamfahamu kwa sababu na yeye ni wa West Nyanza na amekaa sana hapa KiloleliLol...utakuwa unapajua kwa mzee katabaro wew..marehemu sasa hiv..
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hivi hapo FELA wameshaanza ujenzi wa kituo cha SGR??View attachment 2346511
View attachment 2346512View attachment 2346514
Isaka na Fela naona zitakuwa na daraja la ghorofa la kupandia treni za SGR. Inaonekana na Isaka itakuwa modernzaidi ya Fela na Shy town kimuonekano.
Sidhani,wanakomaa na tuta kwanzaHivi hapo FELA wameshaanza ujenzi wa kituo cha SGR??
Nadhani wakijenga station maeneo kama Kisesa, Usagara na FELA yenyewe itakuwa kwa Kasi Sana.Sidhani,wanakomaa na tuta kwanza
Wanaogopa kuondoleewa bila fidia ๐๐๐๐Nadhani wakijenga station maeneo kama Kisesa, Usagara na FELA yenyewe itakuwa kwa Kasi Sana.
Maana Sasa hivi Fela pamepuuzwa sijajua Kama watu labda wanna hofu ya kuondolewa.
Maana mwanzoni wakati inajadiliwa Wilaya ya Kisesa wakataka HQ iwe hapo, na HQ ya SGR pia ni hapo.