Mwanza City: The Photo Gallery

Unaonekana mzururaji sana wewe, ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Maeneo ya kabuhoro pia yana changamka bila kusahau nyasaka
 
Mwanz n mji mkubw san ila shida ipo kwen majengo hasa marefu hayaendan na jiji kbsa ndo maan unakut miji midogo km arush na nakuru kujilinganish na mwanz sabab ya majengo hasa city centre serkal na private sector sjui kwann hazion haja ya kuwekeza kwen majengo marefu mwanz tofaut na dar na arusha,mwanz ingekua bonge la city km ingekua na hata robo ya majengo yanayopatkn dar marefu..nhc wengne wanajenga dar tu majiji mengne hayana iyo mirad ndo maan jiji linabak kua dar tu km vile mengne sio majiji
 
Unaonekana mzururaji sana wewe,

Maeneo ya kabuhoro pia yana changamkia bila kusahau nyasaka
Nilipasahau ..nyasaka ,nyasaka ni best place sana ,..na sa hv Kuna ruti ya kisesa airport kupitia nyasaka ...Pako hot sana..
kwenye kuzurura Ni hobby yangu aisee.napenda sana utalii wa matembezi ,,nishawahi tembea Toka mkuyuni Hadi pasiasi nikaunganisha pasiasi Hadi buzuruga nikaunganisha buzuruga Hadi mkuyuni kupitia mahina kati na ipuli huko ..hii ilinisaidia kufahamu maeneo mengi
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Kama Mimi tu enzi hizo nasoma advance nilikuwa natoka butimba magereza kwa miguu napita chake chake napasulia igogo natokea bugando then mjini kati natokea daraja la wamasai huyo mpaka lake. Wakati wakurudi home napita huku station nafuta reli mpaka voil halafu Rami mpaka nafika home. Nishawahi kutoka butimba kwa miguu nikaenda buzuruga, kangae nikatokea buswelu nikarudi kwa miguu through the same route . Daaah haya maisha bhana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Safi sana kaka. Hata mimi kipindi naishi mza nilikuwa napenda sana kuzurura, na hata nikirudi ntafanya hivyo tena nataka niwe na drone camera niombe kibali kabisa halafu nitakushtua tuzurure vizuri, hii ni kama miaka 5 ijayo najua na mji utakuwa umebadilika sana, tuombe uzima.
Upande wa bwiru kuelekea malaika mpaka airport huko naona yanashushwa mahekalu sio nyumba tena.
Vipi Igombe nilifika huko zamani sana ila pako strategic sana wakipapanga vizuri.
 
Huko nitapafika picha nitakuja nazo hapa. Ni kati ya maeneo yanayojengwa mijumba ya hatari
 
mtu anaweza asiamini akajua fix
 
Welcome.. brother igombe ni barabara tu ni mbovu ,,wakirekebisha barabara patakuwa Bomba sana
 
Mimi nilikuwa natembea mara nyingi kwa miguu kutokea Pasiansi, kupitia Kiloleli, Nyasaka Cassanova mpaka Buzuruga, Nundu, Nyakato Mecco mpaka National.

Enzi hizo ni vumbi hiyo Barbara na Nyasaka bado ni nje ya mji. Naambiwa Sasa hivi hiyo Barbara ni Mkeka na Nyasaka hapashikiki๐Ÿ˜
 
Timu ya wazururaji inaongezeka,
Na wewe nakuongeza kwenye list๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Timu ya wazururaji inaongezeka,
Na wewe nakuongeza kwenye list
Ambacho nimegundua wengi tuliomo humu ni wenyeji wa mwanza lakini hatupo mwanza...walioko mwanza now .hawapo active kwenye Uzi ndo maana Kuna baadhi ya update hatuzipati Kwa wakati .now nipo kahama ila nikitua hapo ,, update zitakuwa za kutosha
 
Wew ni WA zaman sana..mwanza ya kikwete huko ,
 
Wewe ni jirani, mimi nimekulia Nyakato mecco, nyasaka ilikuwa kijijini, mahina ilikuwa kijijini, buswelu, kangae, nyamhongolo, nyamadoke, kishiri, kisesa, ilalila, kahama, sangabuye nk vilikuwa vijiji hasa.
Barbara ya lami ilikuwa mjini kati hadi pasiasi, kipindi hicho pasiasi ilikuwa route yenye daladala nzuri sikuwahi kuona sehemu yoyote Tz.
Stendi ya basi ilikuwa moja tu pale Tanganyika bus ndio baadae wakajenga ya buzuruga and then nyegezi.
Miti mirefu kulikuwa na tope balaa, dah
 
Siku hizi filling station naona zinaipamba barabara ya Buswelu-Kahama na zitaongezeka uelekeo wa Sangabuye mpaka Igombe na Kayenze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ