Tayari lami ya kutokea buzuruga kuelekea mahina kati kuungana na bugarika bugando ishaanza kujengwaHujanielewa kaka, nimesema hizi barabara zinazojengwa watafute namna ziunganishwe na eneo la Buzuruga, kwa maana nyingine ijengwe barabara kutoka buzuruga ikutane na barabara ya Nyakato Mkuyuni, iende ikutane na igoma buhongwa, pia ikutane na kisesa usagara.
There is no way barabara ya mkuyuni itokee buzuruga.labda wairekebishe Ile barabara ya mkuyuni kuelekea nyakurunduma kuelekea ipuli na igelegele iunganishwe na Ile bugarika mahina kati...Hujanielewa kaka, nimesema hizi barabara zinazojengwa watafute namna ziunganishwe na eneo la Buzuruga, kwa maana nyingine ijengwe barabara kutoka buzuruga ikutane na barabara ya Nyakato Mkuyuni, iende ikutane na igoma buhongwa, pia ikutane na kisesa usagara.
Jamiiforum app ,,,inazingua kinoma yaani ..post zinakaa hovyo
Kaka wewe ni mgumu kuelewa😂There is no way barabara ya mkuyuni itokee buzuruga.labda wairekebishe Ile barabara ya mkuyuni kuelekea nyakurunduma kuelekea ipuli na igelegele iunganishwe na Ile bugarika mahina kati...
Naona tatizo ni uelewa, kuna kipande aridhi kipo kati kati ya Jiji kinatenganisha Kenyatta na Musoma Road. Hicho kipande ndio kinaleta shida. Kiufupi hakina road networks. Kwa hiyo mbali na kulinganisha Mkuyuni na Nyakato inatakiwa iwepo / ziwepo barabara za ziada inaweza kuanzia Bugando/Bugarika ikadondoka Nyakato Mwananchi na pia ikatoka Bugarika mpaka Kishiri hadi FelaKaka wewe ni mgumu kuelewa
Mi nimeshakuelewa bloodKaka wewe ni mgumu kuelewa
Wewe umenielewa😄😄Naona tatizo ni uelewa, kuna kipande aridhi kipo kati kati ya Jiji kinatenganisha Kenyatta na Musoma Road. Hicho kipande ndio kinaleta shida. Kiufupi hakina road networks. Kwa hiyo mbali na kulinganisha Mkuyuni na Nyakato inatakiwa iwepo / ziwepo barabara za ziada inaweza kuanzia Bugando/Bugarika ikadondoka Nyakato Mwananchi na pia ikatoka Bugarika mpaka Kishiri hadi Fela
Muda si mrefu tunatarajia kupata ugeni wa rais katika uzinduzi wa stendi zote mbili ile ya nyamhongolo, na nyegezi. Pamoja na kufungua jengo la mama na mtoto pale hospital ya wilaya ya ilemela “Toure”
Zaidi ni mategemeo ya kuonesha uhitaji wa njia 4 kutoka na kuingia mjini
Wana mwanza mjiandae
Seukou Toure ni Hospital ya Mkoa ndivyo ninavyojua.Muda si mrefu tunatarajia kupata ugeni wa rais katika uzinduzi wa stendi zote mbili ile ya nyamhongolo, na nyegezi. Pamoja na kufungua jengo la mama na mtoto pale hospital ya wilaya ya ilemela “Toure”
Zaidi ni mategemeo ya kuonesha uhitaji wa njia 4 kutoka na kuingia mjini
Wana mwanza mjiandae
Umetisha mkuuWakuu nimeingia mwanza leo, honestly nimeona mabadiliko makunwa sana, pengine kwa mnaoishi hapa mnaweza msinielewe.
1: ukiliguru na nyang'holongo zimeshaungana na Kuna viwanda vimeshajengwa maeneo hayo. Na pia Kuna fence kuashiria watu wameshanunua kwa ajili ya uwekezaji.
2. Missungwi nayo imechanganya kwa nyumba za makazi tofauti na ilivyokuwa miaka kadhaa nyuma.
3. Nyashishi na usagara kama hauko makini huwezi kujua mpaka wake na nyumba zinaifuata ilipo fela. Hatari sana.
4. Nyegezi ni baba lao, nafikiri hakuna sehemu nyingine huko mbeleni itakuja kuamka kama kuizidi nyegezi. Kuna ujenzi wa majengo marefu ya ghorofa mengi sana na pamechangamka vibaya na uzuri Barabara zilizokuwa na vumbi miaka kadhaa zimeshapigwa Rami na baadhi zimewekwa mkeka wa mawe. Kamanga medics wanazidi kujitanua kwa kujenga jengo jingine refu. Pembeni mwa kituo Cha SOS Kuna kiota kinapanda, na viota vingine vingi. Nyegezi itakuwa babu kubwa na nahisi itakuwa CBD nyingine very soon kama halmashauri ya Jiji ikiamua kutawanya msongomano wa watu mjini kwa kuwasogeza huduma zingine hapo nyegezi. Hata hivyo Bado Kuna maeneo yanayofaa kwa uwekezaji mkubwa kama machinga complex, mall, low scale shopping centes, recreation parks etc.
USHAURI.
_Kuna foleni Barabara zote za mjini hivyo Kuna haja ya kuzipanua.
_afisa miji wasimamie kuzuia ujenzi holela kwa maeneo yanayoendelezwa.
_milima ya bugando na mabatini haiko poa sana raia wangerasimishwa ardhi na wapewe sharti la kuendeleza maeneo Yao.
NB. Kuna siku nitakuja na picha maana nilikuwa kwa basi tu nashangaa
AKILI kubwa sana mkuuWakuu nimeingia mwanza leo, honestly nimeona mabadiliko makunwa sana, pengine kwa mnaoishi hapa mnaweza msinielewe.

Hongera kaka kwa kutujuza.Wakuu nimeingia mwanza leo, honestly nimeona mabadiliko makunwa sana, pengine kwa mnaoishi hapa mnaweza msinielewe.