Kivipi maana uzuri wa arusha ni ubaridi tu! Ila hali ya upepo na vumbi ni kubwa kitu ambacho mwanza hakipo! Landscape ya mwanza ni nzuri zaidi ya arusha na ziwa pia linaifanya mwanza kuwa nzuri zaidi! Sema wewe ni mtu mwenye mahaba na Arusha!Unaiangalia mwanza kwa jicho la wivu!Namaanisha Arusha ni pazuri zaidi
Mwanza imeizidi Arusha ziwa tu, labda na maweKivipi maana uzuri wa arusha ni ubaridi tu! Ila hali ya upepo na vumbi ni kubwa kitu ambacho mwanza hakipo! Landscape ya mwanza ni nzuri zaidi ya arusha na ziwa pia linaifanya mwanza kuwa nzuri zaidi! Sema wewe ni mtu mwenye mahaba na Arusha!Unaiangalia mwanza kwa jicho la wivu!
Wew umefikaje Tena huku..hapa hatupo kubishana mkuuMwanza ni pazuri sana
Japo sio kama Arusha
Nenda kwenye nyuzi za battle,,,,Mwanza imeizidi Arusha ziwa tu, labda na mawe
Ila mji uliotulia ni Arusha, mji msafi ni Arusha, miti mingi Arusha, hoteli kali Arusha, interaction kubwa na watu wa nje Arusha, hata landscape nzuri ni ya Arusha, hali ya hewa wengi husema Arusha ila mimi si mpenzi wa baridi hivyo kwenye hali ya hewa naipa Mwanza
But to be honest Mwanza haiifikii Arusha kwa uzuri
NimeendaNenda kwenye nyuzi za battle,,,,
Mkuu nakushauri uende kunako husika humu ndani naona umepotea njia.Mwanza imeizidi Arusha ziwa tu, labda na mawe
Ila mji uliotulia ni Arusha, mji msafi ni Arusha, miti mingi Arusha, hoteli kali Arusha, interaction kubwa na watu wa nje Arusha, hata landscape nzuri ni ya Arusha, hali ya hewa wengi husema Arusha ila mimi si mpenzi wa baridi hivyo kwenye hali ya hewa naipa Mwanza
But to be honest Mwanza haiifikii Arusha kwa uzuri
Nasikia kuna project kubwa zinakuja hapo Sekou Toure, Majengo ya zamani yanatakiwa kula nyundo wanapandisha minazi tu.
Ngoja subilia wenye taarifa rasmi waseme...Nasikia kuna project kubwa zinakuja hapo Sekou Toure, Majengo ya zamani yanatakiwa kula nyumba wanapandisha minazi tu.
Ni kweli wanabomoa na mimi naishi jirani na hapoNgoja subilia wenye taarifa rasmi waseme...
Barabara ya mkuyuni nyakato.haifiki buzuruga...inaungia pale mwatexNaona barabara ya Mkuyuni Nyakato 9km itajengwa bajeti hii.
Jitihada zifanyike kuunganisha hizi barabara na buzuruga.
Pia nyerere road ikipanuliwa basi buzuruga wajenge flyover.
Buzuruga labda ile ya kutokea Bugarika kupitia Nyakato MwananchiBarabara ya mkuyuni nyakato.haifiki buzuruga...inaungia pale mwatex
Hujanielewa kaka, nimesema hizi barabara zinazojengwa watafute namna ziunganishwe na eneo la Buzuruga, kwa maana nyingine ijengwe barabara kutoka buzuruga ikutane na barabara ya Nyakato Mkuyuni, iende ikutane na igoma buhongwa, pia ikutane na kisesa usagara.Barabara ya mkuyuni nyakato.haifiki buzuruga...inaungia pale mwatex
Hata Bugando iunganishwe kutokea Buzuruga sio lazima mtu anaetokea Igoma apitie mjini ndio aingie BugandoHujanielewa kaka, nimesema hizi barabara zinazojengwa watafute namna ziunganishwe na eneo la Buzuruga, kwa maana nyingine ijengwe barabara kutoka buzuruga ikutane na barabara ya Nyakato Mkuyuni, iende ikutane na igoma buhongwa, pia ikutane na kisesa usagara.
Tena hii muhimu zaidiHata Bugando iunganishwe kutokea Buzuruga sio lazima mtu anaetokea Igoma apitie mjini ndio agile Bugando