Mwanza City: The Photo Gallery

Tuko kwenye upembuzi yakinifu
 
Yaani nikwambie hamna mtanzania anayeweza kufika mwanza akatamani kutoka bure! Pale ni sehemu sahihi ya kuishi maisha unayotaka! Ngoja uwanja wa ndege wa kimataifa uishe yaani route za Nairobi -kigali-kampala-Dar zitakuwa za kumwaga! Mwanza is centre economic point!
Leo nilkuwa kisesa nimekutana na vifaa vya ujenzi wa barabara,nikauliza wenyeji wakanambia wameanza upanuzi wa hiyo barabara kuanzia kisesa kuja mjini..
 
Kaka mtaani kila mtu huwa na habari zake, upanuzi wa barabara kisesa mpaka mwanza mjini ni ujenzi mkubwa sana ambao utahusisha na bomoabomoa hivyo hauwezi kufanyika kienyeji namna hiyo.
Labda kama wanaongeza njia 3 zifike kisesa hapo sawa.
 
njia 3 tatu ajali tu apo four way ndio habari ya town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…