Sasa Mwanza itakua Rio de jeneiro ya Bongo Soko kuu Mwanza, soko la samaki Mkuyuni, soko kuu la kirumba, soko la Buswelu,Buzuruga commercial complex, stand ya Nyamhongolo, stand ya Nyegezi na Barabara kama Buhongwa-Igoma n.k, sasa wakati wa kuboresha maeneo ya mlimani umefika ili kubadili Mandhari ya jiji