Mwanza City: The Photo Gallery

Miji Mingi duniani inabuni mbinu za kujiendesha ata kwa kukopa pesa imagine serikali imekua ikifanya feasibility study barabara ya Airport-Igombe, Kenyatta Road na Nyerere Road kwa miongo kadhaa sasa wakati wanajua hizo ndo barabara mhimu zaidi
 
Usagara, fela, kisesa ziingizwe Jiji sasa ikiwezekana Mipango miji wahusike ili kuzuia ujenzi holela pia eneo kama Kigongo palitakiwa kujengwe vitu vinavoendana na daraja mfano uwanja mkubwa wa mpira ,Hotel kubwa na High Rise apartments kuanzia 10f+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…