Canabian Rasta
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 780
- 1,767
Naona mmejitahidi kutangaza Hotel za wanaume wenzenu bila gharama yoyote. Hayo mahotel yote hayamsaidii mtanzania wa mwanza anayewaza ada za watoto. Chakula. Kodi ya nyumba. Nk
[emoji13][emoji13][emoji13] kafuta ugoro wakePunguza ujinga...kwenye izo hoteli kuna wafanyakazi wengi na tunaishi nao majumbani maisha yakawaida na wanajikimu maisha yao nakulea familia zao kupitia izo izo hotel na zaidi wanawatunza wazaz wao uko vijijini kwa kuwatumia ela zinazotokana na kipato wanachopata kutoka kwenye izo hotel afu unasema hazimsadii mtanzania wa kawaida wa Mwanza dah watu wengine ni fuvu tuu.
Linajengwa wapi?Maendeleo soko kuu
View attachment 2330594
Mjini kati(rwagasore st,market st na pamba rd)lilipokua soko kuuLinajengwa wapi?
Busan Korea.View attachment 2330610naona waliotengeneza Master plan ya Mwanza walichukua sample ya Jiji la Busan upande wa Nyumba za kwenye miinuko
NdioBusan Korea.
UmeniwahiSangabuye kumekucha
UmeniwahiSangabuye kumekucha
Beach plots mtu akitaka sqm 1000 Ni kama Tsh 30,000,000 hapo hapo watakaonunua hawataleta mzaha.Umeniwahi