Halmashauri,ya jiji .Huwa wananikera sana kwenye hyo ishu everyday nasema ...Tampere park ni mradi unaofadhiliwa na mamlaka ya mji wa Tampere Finland..sasa jiji wanawasubirigi Hawa wafinland ndo waje wawajengee na usikute hela zishakuja zikaliwa ..maana msemaji wa serikali alisema mradi uko tayari kuanza kutekelezwaAliomba eneo la pale clinic afanye huwekezaji wa tampere park wamembania kununua hilo eneo la halmashauri.
Mwanza steel iko mtaa ganNyakato steel na Mwanza steel zote zake ila jina la kampuni ni MWANZA STEEL AU MS COMPANY.
Hiyo ni kufuru kiongoz ambayo kafanya, kuna picha ilioneshwa humu ya hiyo hotel, hiyo photo unaweza kuzani ndio inaishia hapo kumbe hako ni sehemu tu ata robo ya muonekano bado.Kawakomesha huko Capri point
Hv Dodoma walipata wap nguvu ya kubishana na mwanza kipindi kile na sisi tukawapa airtime kabisa na wengine kati yetu walikubali..wakati Dodoma navyoijua haina hotel hata ya nyota 3 .ukiacha waliyojenga juzi halmashauriHiyo ni kufuru kiongoz ambayo kafanya, kuna picha ilioneshwa humu ya hiyo hotel, hiyo photo unaweza kuzani ndio inaishia hapo kumbe hako ni sehemu tu ata robo ya muonekano bado.
Aibu tupuSerikali inashindwa kujenga soko la bilion 20 kwa miaka miwili wakati kuna mtu mmoja anatumia bilion zaid ya 70 kwa kujenga hoteli
MEB alitaka kununua hilo eneo kipindi cha magufuli lkn ndi hivyo wakasema hilo ni eneo la halmashauri ni kwaajili ya mapato ya halmashauri na si mtu binafsi, alitenga 5 bilioni kwaajili ya kununu hilo eneo lote.Halmashauri,ya jiji .Huwa wananikera sana kwenye hyo ishu everyday nasema ...Tampere park ni mradi unaofadhiliwa na mamlaka ya mji wa Tampere Finland..sasa jiji wanawasubirigi Hawa wafinland ndo waje wawajengee na usikute hela zishakuja zikaliwa ..maana msemaji wa serikali alisema mradi uko tayari kuanza kutekelezwa
Dodoma Bado sana, tunaamuaga kuacha tu kubishana na watuHv Dodoma walipata wap nguvu ya kubishana na mwanza kipindi kile na sisi tukawapa airtime kabisa na wengine kati yetu walikubali..wakati Dodoma navyoijua haina hotel hata ya nyota 3 .ukiacha waliyojenga juzi halmashauri
Huku Mwanza hakuna mambo ya ujamaa Mwanza ni jiji la kipebali mifumo mingi ya uchumi ni private sector au mtu binafsi, huku Mwanza hakuna hotel ya serikali au halmashauri labda hiyo Nssf hotel ikija kukamilika.Hv Dodoma walipata wap nguvu ya kubishana na mwanza kipindi kile na sisi tukawapa airtime kabisa na wengine kati yetu walikubali..wakati Dodoma navyoijua haina hotel hata ya nyota 3 .ukiacha waliyojenga juzi halmashauri
Nssf wanampa mwekezaji..kama ilivyo PSSSF walivyompa gold crestHuku Mwanza hakuna mambo ya ujamaa Mwanza ni jiji la kipebali mifumo mingi ya uchumi ni private sector au mtu binafsi, huku Mwanza hakuna hotel ya serikali au halmashauri labda hiyo Nssf hotel ikija kukamilika.
Kiwanda cha nondo, bati na vigae.Mwanza steel iko mtaa gan
Eneo I mean..Kiwanda cha nondo, bati na vigae.
Nyakato na nyamhongoloEneo I mean..
Oh .saw brother..Nyakato na nyamhongolo
Sawa mkuu, ila pale Ilemela maeneo ya malaika beach kuna jumba la kufuru zaidi ya 2. 4 bilion kama hotel hakika ili ni palace kama si castle au mansion ya simba Dotto Bitteko hakika mama aendelee kuwalambisha asali wawekeze Mwanza zaidi.Oh .saw brother..
Hivi Mwanza kuna Five stars hotel ? Usiniuluze kama Arusha ipo maana zipo.
Yaan biseko Tena Yuko sekta ya madiniSawa mkuu, ila pale Ilemela maeneo ya malaika beach kuna jumba la kufuru zaidi ya 2. 4 bilion kama hotel hakika ili ni palace kama si castle au mansion ya simba Dotto Bitteko hakika mama aendelee kuwalambisha asali wawekeze Mwanza zaidi.
Basi sawa, ongeza iwe 10 stars, umefurahi sasa mkuu ee ๐ maana baadhi yenu huwa ikitajwa mwanza mnakosa raha.
Hivi ukipewa exam na swali kama ifuatavyo utajibuje?
Taja majiji mawili makubwa na bora in Tanzania!
1 Dom
2 Mbeya
3 Arusha
4 Tanga
5 Mwanza
6 Dar
???????????????
Wanasiasa wengi kutoka Kanda ya ziwa huwaambii kitu kuhusu Mwanza, wanapenda kuwekeza sana nyumbani asee.Yaan biseko Tena Yuko sekta ya madini
...anaachaje kujenga mwanza ..
Ngoja tumwone tulia aksona atajenga nn isamilo