Ile picha ya MS hotel upande wa ziwa huwa inawadanganya sana, pita huku mbele amechukua eneo lote la ziwa na pia katengeneza tambarare kubwa kwaajili ya ukimbi, parking na sehemu ya michezo ya watoto, huyo malaika ni mchumba tu.Malaika bado naipa nafasi Kwa sababu ya facilities wa ukumbi wa mikutano,wana beach safi ,wana every suites ambayo standard and deluxe hotel inapaswa iwe
Duh .Bas itakuwa Bomba sana aiseeIle picha ya MS hotel upande wa ziwa huwa inawadanganya sana, pita huku mbele amechukua eneo lote la ziwa na pia katengeneza tambarare kubwa kwaajili ya ukimbi, parking na sehemu ya michezo ya watoto, huyo malaika ni mchumba tu.
Capripoint karibu na Mwanza international school njia ya kuelekea kwa gachuma pia ni jirani na makonda pamoja bilionea MEDIko mtaa gan
MED ndo Mukesh ?Capripoint karibu na Mwanza international school njia ya kuelekea kwa gachuma pia ni jirani na makonda pamoja bilionea MED
Thamani ya ardhi kwa capri point inaweza kuwa imemeza fedha. Moja ya sehemu yenye gharama kubwa kwenye aridhi Tanzania kwa sqmSasa billion 72 si kama Ile nssf hotel ...Kwa sababu rock city mall yenyew ni billion 60
MED ndo Mukesh ?
Kama king musukuma alinunua kiwanja milion 550 je Meb kuwaamisha wananchi wa capripoint na kubeba eneo lote hilo alitumia shilingi ngapi? Mkuu huyo si mtu kama wewe, kuna watu wanapesa zaidi ya serikali nakuambia.Thamani ya ardhi kwa capri point inaweza kuwa imemeza fedha. Moja ya sehemu yenye gharama kubwa kwenye aridhi Tanzania kwa sqm
Zongy yopa ana pesa sana kajenga magorofa pale pamba karibu na tajiri la kihindi linajiita makufuli.Kuna tajiri mwingine anaitwa zongy yopa nasikia naye syo haba
Aisee noma ....this month nakuja mwanza nitamake sure nafika hapoKama king musukuma alinunua kiwanja milion 550 je Meb kuwaamisha wananchi wa capripoint na kubeba eneo lote hilo alitumia shilingi ngapi? Mkuu huyo si mtu kama wewe, kuna watu wanapesa zaidi ya serikali nakuambia.
Haitwi Med ni MEB, alifanyiwa figisu na serikali ahamishe kiwanda cha Mwanza steel apewe eneo kibaha et hapa Mwanza anasababisha air pollution, alichowaambia ni hiki hawezi kutoka nje ya Mwanza alichofanya ni kuchukua eneo kubwa nyanguge na kuporomosha magorofa ya kutisha na kuanza pia ujenzi wa kiwanda cha Mwanza steel soon kitaamia Nyaguge.Kuna tajiri mwingine anaitwa zongy yopa nasikia naye syo haba
NomaaaHaitwi Med ni MEB, alifanyiwa figisu na serikali ahamishe kiwanda cha Mwanza steel apewe eneo kibaha et hapa Mwanza anasababisha air pollution, alichowaambia ni hiki hawezi kutoka nje ya Mwanza alichofanya ni kuchukua eneo kubwa nyanguge na kuporomosha magorofa ya kutisha na kuanza pia ujenzi wa kiwanda cha Mwanza steel soon kitaamia Nyaguge.
Karibu mkuu utazunguka na utajionea huyu mtu si wa kawaida ata hilo soko la Mwanza linalosua sua nikikaangalia na uwekezaji wa hili lihotel lake nikajisemea tu kama angekuwa anajenga hilo soko hakika ndani ya miezi sita angekuwa ameshamilisha hilo soko bila wasiwasi.Aisee noma ....this month nakuja mwanza nitamake sure nafika hapo
Mwanza steel ndo iko wapi.mi najua sayona steel na nyakato steel thHaitwi Med ni MEB, alifanyiwa figisu na serikali ahamishe kiwanda cha Mwanza steel apewe eneo kibaha et hapa Mwanza anasababisha air pollution, alichowaambia ni hiki hawezi kutoka nje ya Mwanza alichofanya ni kuchukua eneo kubwa nyanguge na kuporomosha magorofa ya kutisha na kuanza pia ujenzi wa kiwanda cha Mwanza steel soon kitaamia Nyaguge.
Ukienda nchi nyingine private sector Huwa wanapewa nafasi sana ... serikali upigaji mwingiKaribu mkuu utazunguka na utajionea huyu mtu si wa kawaida ata hilo soko la Mwanza linalosua sua nikikaangalia na uwekezaji wa hili lihotel lake nikajisemea tu kama angekuwa anajenga hilo soko hakika ndani ya miezi sita angekuwa ameshamilisha hilo soko bila wasiwasi.
Aliomba eneo la pale clinic afanye huwekezaji wa tampere park wamembania kununua hilo eneo la halmashauri.Nomaaa
Nyakato steel na Mwanza steel zote zake ila jina la kampuni ni MWANZA STEEL AU MS COMPANY.Mwanza steel ndo iko wapi.mi najua sayona steel na nyakato steel th
Kawakomesha huko Capri pointAliomba eneo la pale clinic afanye huwekezaji wa tampere park wamembania kununua hilo eneo la halmashauri.
Familia ya Nyanza Road, akina Shubhash PatelNyakato steel na Mwanza steel zote zake ila jina la kampuni ni MWANZA STEEL AU MS COMPANY.
Serikali inashindwa kujenga soko la bilion 20 kwa miaka miwili wakati kuna mtu mmoja anatumia bilion zaid ya 70 kwa kujenga hoteli๐๐๐Ukienda nchi nyingine private sector Huwa wanapewa nafasi sana ... serikali upigaji mwingi