Mwanza City: The Photo Gallery

Vigogo wakubwa wenye pesa na sio visenti mkuu lakini wengi wanasema kikwete na wenzake, wengine wanasema bwana mapesa Moses cheyo.
Sawa mkuu,niliwahi kusikia Wananzengo wanasema pia lile jengo la Eka clif kule Isamilo Ni la mapesa sijui Kama stories au lah.
 
Arusha๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20220622_145832.jpg
    32.5 KB · Views: 24
Mzee mapesa ndyo nani
Walamba asali wa zaman hao, tukiwa watoto tunasimuliwa na babu zetu, ni mwanasiasa nguli wa chama cha UDP sijui pesa zake alizitoleaga wapi, baba alinisimulia alikuwa ana pesa nyingi sana, jina lake kamili ni John Moses cheyo ni msukuma wa kariba ya wakina Antony Diallo.
 
Ahaa .hapo sawa
 
Wenye ofisi za ticket milango ya ofisi itakuwa nje ya stand, kwa hiyo ukiishakuwa na ticket tayari ni passport. Kama ni hivyo ustaarabu ndani ya stand utakuwepo.
Ukibahatika kutembea nchi za wenzetu kuna ustaarabu mkubwa sana kwenye stendi zao.
 
Katika sehemu ambapo halmashauri zote zimezubaa na kuna pesa ni uendeshaji wa usafiri mijini
 
Maeneo hayo pia kuna ujenzi utakuja wa marine rescue center, tusisahau Airport terminal 2 hata wajisahaulishe vipi wataijenga tu kwa sasa.
 
Kipind kile magufuli anaiingia mkataba na barrik na kutengenez kampuni ya twiga ..walisema makao makuu yatakuwa mwanza .hii ishu iliishia wap
 
Kuna hotel duniani inazid 5 star? Huo mchoro uko wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ