Hivi malaika hotel hua inamilikiwa na nani mkuu?Mwanza kumekuchaaa, ujenzi wa hotel kubwa sana maeneo ya malaika beach render inasema ni gorofa saba na sasa wapo hatua ya msingi hii ni hotel ya zaidi ya nyota tano, mama endelea kuwalambisha asali wazidi kuleta mahotel makubwa kama haya kwenye jiji la Mwanza, Ilemela kucheleee.
Good.....Mwanza kumekuchaaa, ujenzi wa hotel kubwa sana maeneo ya malaika beach render inasema ni gorofa saba na sasa wapo hatua ya msingi hii ni hotel ya zaidi ya nyota tano, mama endelea kuwalambisha asali wazidi kuleta mahotel makubwa kama haya kwenye jiji la Mwanza, Ilemela kucheleee.
Unaweza kututaftia picha za site ,,Mwanza kumekuchaaa, ujenzi wa hotel kubwa sana maeneo ya malaika beach render inasema ni gorofa saba na sasa wapo hatua ya msingi hii ni hotel ya zaidi ya nyota tano, mama endelea kuwalambisha asali wazidi kuleta mahotel makubwa kama haya kwenye jiji la Mwanza, Ilemela kucheleee.
Kwamba halmashauri wamekosa strategy za mapato..hv ilemela wameshindwa nini kujenga recreation center au hata kuanzisha kampuni la usafirishaji abiria mjini ..si wangekuwa na mapato ya kutosha .... halmashauri za bongo ziko politically mkurugenzi haji na ubunifuWakurugenzi wanavitanzi vya mapato, na sasa hivi SSH kawabana madarasa kila Halmashauri kwa vyanzo vya mapato ya ndani. Mkurugenzi atakaeshindwa analiwa kichwa.
Wanaofatilia siasa wanasema msoga .laknu all in all hatujuiHivi malaika hotel hua inamilikiwa na nani mkuu?
Wanazingua sana, wao wanategemea sana sana mapato ya stand dah, wakati wanaweza kufungua recreation center ya michezo ya watoto tu ikawa bei nafuu afu waone hususan kpnd cha likizo na sikukuu wataupiga mwingi sanaKwamba halmashauri wamekosa strategy za mapato..hv ilemela wameshindwa nini kujenga recreation center au hata kuanzisha kampuni la usafirishaji abiria mjini ..si wangekuwa na mapato ya kutosha .... halmashauri za bongo ziko politically mkurugenzi haji na ubunifu
Mwanza kumekuchaaa, ujenzi wa hotel kubwa sana maeneo ya malaika beach render inasema ni gorofa saba na sasa wapo hatua ya msingi hii ni hotel ya zaidi ya nyota tano, mama endelea kuwalambisha asali wazidi kuleta mahotel makubwa kama haya kwenye jiji la Mwanza, Ilemela kucheleee.
Lile ghorofa oppo na stand ambapo kuna office za dar lux na nk, sijui kwa nn hawalifanyii finishingNa nyegezi ghorofa kadhaa zinajengwa. E.g pembeni mwa kituo Cha watoto, kamanga medics pia Kuna jengo wanapandisha , etc . Kifupi kule kumekucha kabla ya kukamilika stand
Tatizo lingine kwenye Halmashauri zetu.Kwamba halmashauri wamekosa strategy za mapato..hv ilemela wameshindwa nini kujenga recreation center au hata kuanzisha kampuni la usafirishaji abiria mjini ..si wangekuwa na mapato ya kutosha .... halmashauri za bongo ziko politically mkurugenzi haji na ubunifu
Inawezekana mkuu.Maana town karibu kila jengo/kitega uchumi linajulikana mmiliki wake,lkn ikija kwny malaika hua Hakuna straight answer mkuu.Wanaofatilia siasa wanasema msoga .laknu all in all hatujui
Inawezekana mkuu.Maana town karibu kila jengo/kitega uchumi linajulikana mmiliki wake,lkn ikija kwny malaika hua Hakuna straight answer mkuu.
Katika suala la uwanja wa ndege ...palipofikia sio Haba ...katika kitu ambacho Hadi leo Huwa kinaniumiza ni kujenga Barbara ya airport wasiweke taa .sijapata kuona aisee .arusha wamejengew zikawekwa taa .shy town pale Kuna taa za kutosha ,..walikosa hela au nini tatizo bas hata halmashauri kutoa bilioni 1 mapato ya ndani ilishindwaKinacho tukwamisha ni uwanja wa ndege
Siasa ni nyingi
Hahah nazidi ku-connect dots mkuu,thnxs.mnajua kwa nini ile barabara ilikula mkeka mapema baada ya huo uwekezaji????
Na kipindi hicho haikuwa na umuhimu sana kwa Ilemela kuliko barabara nyingine.
Japo kuwa.huwa naiponda Dodoma ila halmashauri ya Dodoma Toka alipokuwepo kunambi,,wamekuwa wabunifu sana kwenye mapato tusipoangalia mwanza haitakuja kuikamata Dodoma kimapato huo ndo ukwelj nausema Kwa sababu mwanza hatuna competent leaders wenye ubunifu..Dodoma halmashauri Ina miradi hiiWanazingua sana, wao wanategemea sana sana mapato ya stand dah, wakati wanaweza kufungua recreation center ya michezo ya watoto tu ikawa bei nafuu afu waone hususan kpnd cha likizo na sikukuu wataupiga mwingi sana
Habari vipi mkuu unaweza kushare picha kidogo tukaona...Machinga complex kampuni ya mohamed builder wanajenga hapo mchafu koge nazani kwa pesa za halmashauri ya Mwanza cc.
Kwel aisee wapo vizuri kwenye ubunifu ๐ฅJapo kuwa.huwa naiponda Dodoma ila halmashauri ya Dodoma Toka alipokuwepo kunambi,,wamekuwa wabunifu sana kwenye mapato tusipoangalia mwanza haitakuja kuikamata Dodoma kimapato huo ndo ukwelj nausema Kwa sababu mwanza hatuna competent leaders wenye ubunifu..Dodoma halmashauri Ina miradi hii
hotel ya nyota 3 umeisha mwaka Jana .
City Park recreation center
wanajenga business complex mji wa serikali
Wanamalizia machinga complex pale bahi road ..
Hii miradi tu inatosha kuwafanya wawe juu
Basi na Bukoba labda wataendelea na ujenzi wa ile stendi ...maana ya sasa imezidiwa mnoNdio ndio
Vigogo wakubwa wenye pesa na sio visenti mkuu lakini wengi wanasema kikwete na wenzake, wengine wanasema bwana mapesa Moses cheyo.Hivi malaika hotel hua inamilikiwa na nani mkuu?
Unaweza kututaftia picha za site ,,