Mwanza City: The Photo Gallery

Nimesikia mahala kuwa stendi mpya ya Nyamhongolo kiingilio elf 1 iwe abilia ama anayesindikiza kuna ukweli katika hili?
Ni kweli aisee, hata JPM bus terminal bei ni nafuu kuliko. Tusubirie labda OR-Tamisemi wanaweza litolea majibu au kubadilisha mambo kabisa.
 
Nyegezi Bus terminal nasikia kufikia October mzigo utakuwa hewani. Sasa sijui na wao watacopy Nyamhongolo?
 
Nimesikia mahala kuwa stendi mpya ya Nyamhongolo kiingilio elf 1 iwe abilia ama anayesindikiza kuna ukweli katika hili?
Ni nzuri kuzuia wizi na vurugu, ila kwa abiria naye kulipa 1000 na ana tiketi watakuwa wamechemsha
 
Nyegezi Bus terminal nasikia kufikia October mzigo utakuwa hewani. Sasa sijui na wao watacopy Nyamhongolo?
Nyegezi ni stendi nzuri kuliko nyamhongolo ..ikimalizika itapafanya nyegezi pale pawe mjini kinoma ...yaaani mwanza city council wameupiga mwingii..Ile ni small and elegant.... finishing yake ni babkubwa
 
Hapa umeongea kwel bab, ujue nyamhonholo ni kubwa tu lakina haipo poa kama Nyegezi.
 
Nyegezi ni stendi nzuri kuliko nyamhongolo ..ikimalizika itapafanya nyegezi pale pawe mjini kinoma ...yaaani mwanza city council wameupiga mwingii..Ile ni small and elegant.... finishing yake ni babkubwa
Na nyegezi ghorofa kadhaa zinajengwa. E.g pembeni mwa kituo Cha watoto, kamanga medics pia Kuna jengo wanapandisha , etc . Kifupi kule kumekucha kabla ya kukamilika stand
 
Inaonekana mkandarasi pale anazuia wasipige picha.yaani kupata picha za maendeleo ya ujenzi ni vigumu .. nyamhongolo picha tulianza kuzipata Toka awali Hadi stendi inaisha
Ni kama imekamilika nilikuwepo huko jmatatu ya week hii. Na Kuna projects nyingi tu za majengo marefu sema sikuwa na mda wa kupiga picha
 
Wenye ofisi za ticket milango ya ofisi itakuwa nje ya stand, kwa hiyo ukiishakuwa na ticket tayari ni passport. Kama ni hivyo ustaarabu ndani ya stand utakuwepo.
Sema Kuna UPUMBAVU huwa unafanyika. Kwasababu issue ni mapato, utashangaa hata watu went tiketi wanasumbuliwa kulipa.

Yanatokea haya Magufuli Bus terminal
 
Wakurugenzi wanavitanzi vya mapato, na sasa hivi SSH kawabana madarasa kila Halmashauri kwa vyanzo vya mapato ya ndani. Mkurugenzi atakaeshindwa analiwa kichwa.
 
Halmashauri zinaongozwa kizuzu sana kiukweli.
 
Una maanisha miradi ya tactic...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…