Mwanza City: The Photo Gallery

Uwanja wa Nane Nane waumege waweke stand kubwa ya daladala kuelekea sehemu tofauti tofauti za Jiji kama ilivyo Magufuli bus terminal na Mbezi Luisi. Ikiwezekana na daraja la kuvukia la waenda kwa miguu, najua pakichanganya jam itakuwa kubwa tu.
 
Kweli pale panatakiwa pawe na kituo Cha daladala kwa sababu ya hiyo stand apo...
Labda kutakua na hiyo mipango ngoja tuskilizie labda kuna atakua ana dondoo...
 
Uwanja wa Nane Nane waumege waweke stand kubwa ya daladala kuelekea sehemu tofauti tofauti za Jiji kama ilivyo Magufuli bus terminal na Mbezi Luisi. Ikiwezekana na daraja la kuvukia la waenda kwa miguu, najua pakichanganya jam itakuwa kubwa tu.
Daraja litakuwepo kwenye upanuzi wa barabara
 
Miradi mingi ya world bank nchini inategemewa kuanza mwezi September, soko la Kirumba taratibu za kuhamisha wafanyabiashara kwenda Magomeni zimepamba moto.

Kwenye hii robo ya mwisho wa mwaka nadhani tutaona mji ukifumuliwa fumuliwa nashughuli za ujenzi wa.barabara pendekezwa na.miradi mipya ya kimkakati zikiendelea.

Miradi mipya kabisa ya kimkakati na barabara mpya za lami tofauti na hizi zilizopo kwenye makaratasi tutaijua mwakani kupitia kwenye mabaraza ya madiwani na Bunge.
 
Machinga complex kampuni ya mohamed builder wanajenga hapo mchafu koge nazani kwa pesa za halmashauri ya Mwanza cc.
Sasa mbona Samia mlikuwa mnamponda kuhamisha machinga .na amefanya the best
 
Nimesikia mahala kuwa stendi mpya ya Nyamhongolo kiingilio elf 1 iwe abilia ama anayesindikiza kuna ukweli katika hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ