Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

View attachment 2292467moja ya sehem nimefika mwanza nikashangaa imetelekezwa, nchi za watu hili eneo ni hot sana, but mwanza wameliacha tu kama hawalioni!! Hata kuanzia nera mpka clinic pale napo pametelekezwa tu, huu mji tunaviongozi kweli??
Kuna maeneo unayaona yapo idle lakini yameshikiliwa na Taasisi kubwa, ndio maana hata wale wazee wa kambi popote hawatii miguu.Kama hilo eneo la Wacatholic lao lipo Kirumba/ Ibanda. Planning ni kujenga chuo kikuu cha afya hapo pamoja na hostels.

1657953018034.png
 
View attachment 2292467moja ya sehem nimefika mwanza nikashangaa imetelekezwa, nchi za watu hili eneo ni hot sana, but mwanza wameliacha tu kama hawalioni!! Hata kuanzia nera mpka clinic pale napo pametelekezwa tu, huu mji tunaviongozi kweli??
Nera hadi clinic ,ni eneo la mradi wa wafinland ,,,tampere park ...city council wanasubiri pesa za ufadhilii
 
View attachment 2292467moja ya sehem nimefika mwanza nikashangaa imetelekezwa, nchi za watu hili eneo ni hot sana, but mwanza wameliacha tu kama hawalioni!! Hata kuanzia nera mpka clinic pale napo pametelekezwa tu, huu mji tunaviongozi kweli??
Maeneo kama haya yapo mengi luchelele na Nyegezi ,na Butimba,,kuna eneo limeshikwa na magereza pamoja na jeshi la wananchi eneo la Butimba karibu na Nyegezi ufukweni mwa ziwa...pako vizuri sana
 
View attachment 2292467moja ya sehem nimefika mwanza nikashangaa imetelekezwa, nchi za watu hili eneo ni hot sana, but mwanza wameliacha tu kama hawalioni!! Hata kuanzia nera mpka clinic pale napo pametelekezwa tu, huu mji tunaviongozi kweli??
Ila pia maeneo yakiachwa kwenye uasili wake yanavutia kuliko yakijengwa kiholela.
 
View attachment 2292467moja ya sehem nimefika mwanza nikashangaa imetelekezwa, nchi za watu hili eneo ni hot sana, but mwanza wameliacha tu kama hawalioni!! Hata kuanzia nera mpka clinic pale napo pametelekezwa tu, huu mji tunaviongozi kweli??
Kaka mimi naona hili eneo kwa jinsi lilivyo libaki hivyo hivyo, sana sana wapande miti kwenye hiyo milima.
Viongozi wetu wangeweza kujipanga haya ni maeneo ya utalii, nimegundua watu wengi sana ndani ya Tanzania hupenda kuja mwanza kutembea, kungewekwa boti za kisasa na mabasi watu wanalipa kisha wanazungushwa maeneo kama haya.
 
Sijui video imechukuliwa lina ila inaonekana ni recent maana kona ya mwaloni naona kuna traffic lights, hapo kabla hazikuwepo.
Street lights kutokea Airport naona zinasongea ingawa safari bado ndefu kufika City centre.
 
Hii ni ya hivi karibuni. Naona mkoa unakwama sana kwenye suala la utalii wa ziwa na fukwe zake, pia upande wa milima. Mwanza ina fursa nyingi sana zinazotokana na ziwa ukitoa uvuvi.
 
Private sector ipewe nafasi katika hili suala...
 
Hii barabara ya kenyata kuanzia stand ya igombe kwenda makao makuu ya ccm na nyerere road
Mbona taa zimekuwepo toka mwaka jana hapo city centre..kuanzia pamba road,Rufiji road, uhuru,lumumba,road.
 
Yes hizo barabara zinawaka ila ya kenyataa kuelekea kemondo zilikua zimeshaungua
Walikua wanafunga bulb za nyumbani kama kuna ziara za rais.
 
Kuna video nimeona ni ya jana tu, hakuna taa mpya,, zote za zamani labda wamezitengeneza ziwake
Kuna watu humu najua hamko mwanza ,,,,... mimi nimetoka mwezi wa nne ... kuhusu taa city centre zimewekwa bado kibamba mkurugenzi..taa za airport ziliwekwa bado Magufuli akiwa hai.....kitu kipya kilichofanyika ndani ya miezi miwili nyuma ni trafiki right Mwaloni,na Nyakato sokoni na pale nata.
 
Back
Top Bottom