Ukipata time uende Nyegezi majengo mapya ... Nyakato mwananchi panaenda kuipita capripoint sema barabara tu ni vumbi vumbiKesho charge 100% bwiru na Nyasaka je wataweza kujibu mapigo ya Capri point?
Picha za Bonus Nyasaka mtaa wa nyamuge maskan View attachment 2286612View attachment 2286614
Kwenye barabara aisee ni changamoto bwiru inaizidi Capri point idadi ya nyumba nzuri tatizo ni barabara tuUkipata time uende Nyegezi majengo mapya ... Nyakato mwananchi panaenda kuipita capripoint sema barabara tu ni vumbi vumbi
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Wacha nikusanye pesa, nitafute kiwanja maeneo yoyote ya mlimani yenye view ya ziwani. Hata kama ni huko Igombe milimani.
Ukipata time uende Nyegezi majengo mapya ... Nyakato mwananchi panaenda kuipita capripoint sema barabara tu ni vumbi vumbi
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kuna ile njia kama unaelekea Mahina kati na Mahina primary...kuna majengo yamejengwa bomba sanaNyakato mwananchi nina picha kidogo hapa
View attachment 2286764
kweli kabisa na ndio maana nikakimbia kwetu Arusha nikaja huku mwaka 1997 nilichanganyikiwa nilivyokuta napewa chai na kitafunio na samaki kwa wenyeji wangu nilikoshukia wasukuma.Zaidi ya yote nilitoka kule kilo ya nyama ilikuwa 1200 wakakokuita Arachuga sasa hivi kuja huku nikakuta kilo ni shillingi 500 ila nahisi kuna shida flani ilitokea ya ukame.Kuona hivyo nikamleta mke wangu hadi leo kule R chunga nakwenda kusalimia tu huku kwa kina Ngosha walivo wakarimu siondoki kabisa.mwanza ni pazuri kuishi kuliko arusha.
Jiran vpKesho charge 100% bwiru na Nyasaka je wataweza kujibu mapigo ya Capri point?
Picha za Bonus Nyasaka mtaa wa nyamuge maskan View attachment 2286612View attachment 2286614
Nimesikia meya anataja barabara Nile Fish mpaka mkuyuni km 9.
Nahisi ndio barabara ya Nyakato mpaka Mkuyuni.
Hiyo ya kiseke ilifadhiliwa na pesa za maendeleo ya jiji, ila hii ni kutoka serikali kuu inawezs isiwe nyembamba but quality yake inaweza kua ndogo kidogoSema wanaweka barabara nyembamba, haitakuwa na tofauri na ya Kiseke / Buswelu
Nyasaka imefanya je?Nyasaka Mwanza Tanzania![]()
Picha ya mwisho wanajenga nini Nimeshindwa kusoma bango