Nakumbuka Kuna jamaa nilimwambia anunue Kiwanja Nyasaka, mwaka 2010 akawa anaonq Ni Porini sana.Nyasaka sio pa mchezo mchezo
Ahahahaaaa, mji unakuwa sana.Nakumbuka Kuna jamaa nilimwambia anunue Kiwanja Nyasaka, mwaka 2010 akawa anaonq Ni Porini sana.
Enzi hizo, Mjini inaishia Nyegezi, Nyakato, Igoma, Pasiansi.
Sasa hivi Nyasaka hapagusiki. Amenunua Igudija
This view is dope🔥🔥
Na uzuri lami imeanza kusogea taratibuThis view is dope🔥🔥
Nyasaka pako rahisi sana kufikikaNakumbuka Kuna jamaa nilimwambia anunue Kiwanja Nyasaka, mwaka 2010 akawa anaonq Ni Porini sana.
Enzi hizo, Mjini inaishia Nyegezi, Nyakato, Igoma, Pasiansi.
Sasa hivi Nyasaka hapagusiki. Amenunua Igudija
Igudija ndo wapNakumbuka Kuna jamaa nilimwambia anunue Kiwanja Nyasaka, mwaka 2010 akawa anaonq Ni Porini sana.
Enzi hizo, Mjini inaishia Nyegezi, Nyakato, Igoma, Pasiansi.
Sasa hivi Nyasaka hapagusiki. Amenunua Igudija
Duh huku nako ni wapi?Igudija ndo wap
Mji unakua kwa haraka sana.Nakumbuka Kuna jamaa nilimwambia anunue Kiwanja Nyasaka, mwaka 2010 akawa anaonq Ni Porini sana.
Enzi hizo, Mjini inaishia Nyegezi, Nyakato, Igoma, Pasiansi.
Sasa hivi Nyasaka hapagusiki. Amenunua Igudija
KisesaIgudija ndo wap
Nimesikia meya anataja barabara Nile Fish mpaka mkuyuni km 9.
Nahisi ndio barabara ya Nyakato mpaka Mkuyuni.
Waondoe yale mawe yao ,pale mkuyuni njia panda ya nyakurundumaNdio inaanzia pale kiwandani(veta) kupita mahina ,nyangulugulu,kanyerere mpka mkuyuni pale
Kwa mbele yake Kuna mtaa unaitwa kanyerere Nina site yangu huko. Wakipitisha Barbara mbona watanisaidia sana kusukuma mbele plan zangu.Waondoe yale mawe yao ,pale mkuyuni njia panda ya nyakurunduma
Tujipange tutafute vya milimani kwenye lake view sasa, ila naona karibia milima yote muhimu imeshikwaKwa mbele yake Kuna mtaa unaitwa kanyerere Nina site yangu huko. Wakipitisha Barbara mbona watanisaidia sana kusukuma mbele plan zangu.



HahaaTujipange tutafute vya milimani kwenye lake view sasa, ila naona karibia milima yote muhimu imeshikwa![]()
F
Kule maeneo bado yapo ila ni mkasi sana. Kupata kiwanja bila 35m na kuendelea sio rahisi. Niliulizia mitaa ya Ibanda Kirumba hapashikiki vigogo wameshika tayari.Kuna ile view ya milima ya bwiru mtambaa kuelekea mihama hadi ibanda kukoje kule kwa sasa,,? Maana tangu nitoke Mwanza kitambo kidogo kimepita kama miaka 15 au zaidi ningependa kujua kwa wanaofahamu nakisia tu panatosha kuwa Hollywood ya Bongo kule