Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Eneo lingine ni kuelekea igombe ... sijui kwanini hawaweki lamiHili eneo kuelekea airport pakifanyika uwekazaji mkubwa kwenye fukwe hii na kwenye kilima kinachotizamana na uwanja wa ndege patakuwa pamoto sana.
View attachment 2280050View attachment 2280051View attachment 2280052View attachment 2280053View attachment 2280054View attachment 2280055

