Wale Kenge wa chuga wanakuambia Mwanza Mall zinapwayaa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Proposed mega mall at Nyakato
19 floorView attachment 2276797
Vitendo vinaongea kuliko maneno .. waulize wao ile mall yao imejaaWa
Wale Kenge wa chuga wanakuambia Mwanza Mall zinapwayaa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Hizo Mall zao zina serve foreigners na wazawa wachache wenye mawe, hawa wenzetu wakiingia wanaishia kununua ice cream na sausage 😀 😀Vitendo vinaongea kuliko maneno .. waulize wao ile mall yao imejaa
Arusha wana aim mall na ni ndogo kuliko rock city .na haijajaa ,,Hizo Mall zao zina serve foreigners na wazawa wachache wenye mawe, hawa wenzetu wakiingia wanaishia kununua ice cream na sausage 😀 😀
Vizuri kabisa....picha ya mwisho unaruhusiwa kuizoom kwa faida ya macho yako
View attachment 2276823View attachment 2276825View attachment 2276830View attachment 2276827View attachment 2276828View attachment 2276822

Naaampicha ya mwisho unaruhusiwa kuizoom kwa faida ya macho yako
View attachment 2276823View attachment 2276825View attachment 2276830View attachment 2276827View attachment 2276828View attachment 2276822
Miss you, karibuRock city🥰, tukijaaliwa uzima ntatembelea huko mwaka huu, samaki tu😋
Upi tena BossHuu mradi utaanza lini coz muda umepita naona utekelezaji bado, mkuu naona utupe progress ya huu mradi.
Upi tena Boss
Nitafuatilia mkuu ..ila mara ya mwisho walifungua ofisi za kuratibu mradi pale capripoint ,ikafikia hatua ya kubadilisha render toka ile ya awaliHuu mradi utaanza lini coz muda umepita naona utekelezaji bado, mkuu naona utupe progress ya huu mradi.
Sijajua kinachoendelea Boss, labda financing ndio issue kubwa. Kwa sababu wanategemea loans ku run hiyo project.Wa mega mall complex wa maeneo ya nyakato
Nadhani ishu ni bureaucratic process za serikalini na ardhi ikiwa na migogoro ...but soon tutapata updates....S
Sijajua kinachoendelea Boss, labda financing ndio issue kubwa. Kwa sababu wanategemea loans ku run hiyo project.
Niliwauliza kupitia email yao, wanasema kilichokwamisha ni kuhamisha watu. Kuna wengine waligoma kuhama na waligoma pesa ya fidia waliyopewa.S
Sijajua kinachoendelea Boss, labda financing ndio issue kubwa. Kwa sababu wanategemea loans ku run hiyo project.
Thank you mwenyeji wanguMiss you, karibu
Hv kwann wasiongee naa ilemela wapewe buzuruga paleNiliwauliza kupitia email yao, wanasema kilichokwamisha ni kuhamisha watu. Kuna wengine waligoma kuhama na waligoma pesa ya fidia waliyopewa.
Kesi mahakamani walishinda kwa sasa wanaendelea kulipa fidia.
Mradi utaanza mwezi Disemba baada ya kukamilisha ulipaji wa fidia.