Mwanza City: The Photo Gallery

Si ndo mpango umesitishwa timing ilikua mbaya na huu upepo wa loliondo
Ukimsikiliza meya, mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya walivyokanusha ni dhahiri huu mradi ipo ila Taarifa zime leak mapema.
Hakuna hata mmoja aliyeishutumu nipashe kwamba imedanganya.
 
Tuna shortsighted leaders ...ni tatizo sana katika nchi yetu kuwaruhusu madiwani ambao wengi hata proffesional hawana kuwa watu wa mipango na sera ya maendeleo kwenye halmashauri zetu ...
 
HV Barabara ya nyerere haiko kwenye mpango wa upanuzi au ...au ndo mwisho njia 3 hadi Nyakato
Ipo inafanyiwa upembuzi, bajeti ya upembuzi imepitishwa kwenye bunge hili la bajeti.
Ni njia nne mpaka kisesa.
Pia airport igombe mpaka nyanguge km 46 inafanyiwa upembuzi.
 
Mbona hizi taa zilikuwepo , zinaanzia airport hadi pale njia panda ya igombe ...kwani washaanza kuweka kuelekea mjini

Nimezoom uone vizuri Wameshaanza kusogeza kuja mjini, Ukiangalia hapo zilipokomea njia panda ya igombe wala haionekani.
 
Soon buzuruga na nyakato zitakuwa poa sana. Mosi, uwepo wa jengo la TMDA umenogesha sana eneo Hilo, pili uwepo was buzuruga plaza na tunasubiri ujio wa buzuruga commercial complex na Ile project ya MIC. wakati huo huo Tukumbuke opposite na chuo Cha TIA Kuna jengo ghorofa kadhaa liko kwenye finishing na Kuna Ile facility ya wasabato yaani jengo lao la ukumbi wa mikutano. Sura na muonekano wa maeneo haya nauona kivingine sana baada ya miaka kadhaa ijao.
 
Hivi kuhamishwa kwa stendi huoni kama kutapafanya papoe hayo ya maeneo na vipi kuhusu mustakabali wa biashara zilizopo hapo ambazo zilikuwa zinategemea hyo stand
 
Naona kama stendi ikiondolewa kutapafanya papooze sana
 
Hivi kuhamishwa kwa stendi huoni kama kutapafanya papoe hayo ya maeneo na vipi kuhusu mustakabali wa biashara zilizopo hapo ambazo zilikuwa zinategemea hyo stand
Neno hilo, labda wa design kituo kikubwa cha Daladala za maeneo yote ya jiji na soko liboreshwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…