Mwanza city pictures | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanza city pictures

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kalunguine, May 1, 2012.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  1. Mradi wa nyumba za ppf, zipo nyingi lakini sikuweza zipiga zote kwa wakati mmoja.
  View attachment 53093
  2.City view nikiwa juu ya ghorofa ya makongoro (ccm makao makuu)
  View attachment 53094
  3. Mitaa kadhaa ikionekana kwa mbali, mjii huu unawakazi wengi na makazi yaliyopangika.
  View attachment 53096
  More pictures to come kadri ntakavyoendelea kaa hapa!
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  asante kwa picha, napapenda sana nyumbani
   
 3. m

  manasa Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waoh!!!!!!! Mwanza is cul
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Thanks mzee, umenikumbusha ofisi yangu ya kwanza kabisa kuajiriwa baada ya kumaliza F4. Lool, worked there for almost six months. Love Mwanza, xoxoxo!!
   
 5. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Squatter?
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  @Narubongo kumbe wewe ni Mwangaluka au Mwadile? hahahahahh nimekukamata Mwanza kuna maendeleo gani zaidi ya uchawi?
   
 7. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Wa Ukenyenge umekula chumvi nyingi eeee,ikiwa ni wa enzi zile mtu unamaliza F4 na unapata kazi, F4 ilikuwa elimu kubwa sana those days
   
 8. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  IMG-20120102-00078.jpg Mwanza Mwanza.....from Gold Crest Hotel Room

  Image0216.jpg
  Mwanza Mwanza....City Centre...

  Image0222.jpg
   
 9. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
 10. S

  Saas JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MWANZA.jpg

  Mwanza...Rock City i love my home town
   
 11. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa weka na picha za uswazi: maana DSM ukipiga picha posta/ kariakoo streets zimejipanga: piga manzese/tandika/mwananyamala/tandala - TOFAUTI KABISA
   
 12. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  MziziMkavu uchawi wa usukumani ni kwaajili ya kuleta maendeleo ndio maana watu wanalimishwa mashambani usiku ili kutekeleza sera ya kilimo kwanza. Wachawi wa mlingotini, magomeni,majani mapana, mbegani, kaole, kiromo, kizuiani kazi yao ni kuwapanda watalii vichwani usiku kucha na ndio maana mchana wote huwa wamechoka
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mwanza naipenda sana aise
  Na ni mji unaokua kwa kasi sana
  asante sana mkuu kwa picha za mwanza
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  @Narubongo umefika huko Bagamoyo mkuu? inaonyesha unakujuwa sana kuliko hata mimi mwenye asili yaa huko ehhh kasheshe kweli. Nakumbuka Mwalimu mmoja wa kichaga alimpiga mtoto mmoja wa

  Mwinyi huko bagamoyo mjini mnamo miaka ya 1980 basi yule mtoto alikwenda kwao nyumbani huku analia, baba yake alimuuliza mwanangu unalia nini? mtoto akajibu Mwalimu wa shule kanipiga basi yule mzee akasema hiyo ndio mwanzo na mwisho hatafundisha tena hapa bagamoyo anapiga watoto wa ma mwinyi. Basi siku ya pili mwalimu yule wa kichaga

  alivyokwenda shule kufundisha aliposimama kufundisha alipokuwa amemaliza kufundisha alikuwa anataka kukaa kwenye kiti alikaa kwenye kiti chake na alipokuwa anataka kunyanyuka hakuweza kutoka katika kiti chake alipiga mayowe

  kuwaomba walimu wenzake waje kumnasuwa kwenye kiti basi walimu wenzake walipokuja kumnasuwa hawakuweza kumnasuwa ndipo walimu wenzake walipo fanya ushauri wa kumpeleka hospitali. Alipofikishwa hospitali

  Walimu wenzake walielezea mkasa wote ulimkuta huyo Mwalimu ndipo Madokta walipo muuliza je aliwahi kufanya kitu gani ? Ndipo yeye mwenyewe Mwalimu alieleza aliyoyafanya huko Bagamoyo ndipo Ma Daktari wakasema aende kwa yule mzazi aliyempiga yule mwanafunzi kuomba msamaha haya ni mambo ya kiswahili ndipo alipokwenda kuomba msamaha

  na ndipo kiti kilipo mtoka nakuanzia hapo yule Mwalimu wa kichaga aliomba uhamisho Wizara ya Elimu hakutaka tena kufundisha shule za msingi Bagamoyo huko ndio kwetu Bagamoyo karibu mkuu unakaribishwa.
   
 15. wejja

  wejja Senior Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi siji huko ng'oooo
   
 16. sister

  sister JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,029
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  napapenda mwanza ile mbaya ingawa sijawahi fika uko.
   
 17. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  Matukio ya namna hiyo yapo sana b'yo iwapo utaleta dharau, nadhani hiyo shule ilikuwa ni S/M mwanamakuka pale karibu na sanaa, au kama sio hapo basi itakuwa S/M kizuiani ipo pale mlingotini kwa mbele maeneo ya karibu na kanisa katoliki. Ile mitaa ya kizuiani ni janga (nilikuwa namkuta sana mkuu siku za weekend, ndugu zake wengi wanaishi kizuiani). B'yo kwenye yale magofu ya majani mapana na msalaba kuna warabu wengi sana halafu nao wamekuwa ni wachawi wa kutupwa wanashindana na wakwere kwa vibwanga
   
Loading...