Elections 2010 Mwanza City on Fire!

huyo masha ni mshkaji wake jk..si unajuwa ndio walimlipia karo ya masters ya riziwani university hapo uingereza...kwa hiyo baba mtu anataka kumlipia fadhila...KWANINI ASIMPE HATA U-HAUZI BOY HAPO IKULU awe anamsaidia kuchakachua

Ikulu ipi?Msoga?
 
Watu wamepigwa mabomu hadi mitaaani kwao wanapoishi, ni moshi na muwasho watoto kwa watu wazima. Hivi demokrasia ndio hii??? Naona itafutee njia nyinigine ya kupata viongozi Tanzania hii ya kura itamaliza maisha ya watu wasio na hatia.
 
Watu wanatetea haki yao!! Haiwezekani mtu uamue unachotaka kila siku!!! Tumechoka...:nono:
 
Habari kutoka Mwanza sasa ni Askari wanatawanya watu kwa mabomu ya machozi kwahiyo Mwanza Ni vurugu mtindo mmoja. Hizi fujo zinaletetwa na CCM wenyewe badala ya kukubali na kutanga matokeo wao wanayeyusha watu ili waje wachakachue kazi ipo.
 
Kulingana na taarifa za ITV ni kuwa watu waliokuwa wanasubiri matokeo ya Ilemela na nyamagana wametawanywa na polisi kwa kutumia mabomu baada ya uvumilivu kuwashinda kusubiria matokeo na kuanza kurusha mawe.
 
Gud na this is furaha tu ccm watu wakifa ili tu wasipate haki yao
 
Kulingana na taarifa za ITV ni kuwa watu waliokuwa wanasubiri matokeo ya Ilemela na nyamagana wametawanywa na polisi kwa kutumia mabomu baada ya uvumilivu kuwashinda kusubiria matokeo na kuanza kurusha mawe.
sii ITV tu bali mimi nipo Mwanza mabomu ni ya kufikia mji mzima hakuna amani kabisa
 
Kikwete yuko hapa na mkapa inasemekana yupo hawataki kusaini matokeo rakini Masha na Diaro wameshaanguka vibaya
 
Kuna breaking news kuwa moto unawaka kwenye ofisi ya CCM na shule moja ya sekondary huko Mwanza
 
Kwa taarifa nilizonazo ni kuwa Jengo la CCM limewaka moto na hata fire hakuna. Mlioko Mwanza tujuzeni zaidi
 
Back
Top Bottom