Mwanza City on a major Shopping project

Hebu fanya hiyo makitu kisha utuletee mlishonyuma bada!

Mkuu Eiyer, nilizungumza ba Afisa mmoja wa Sumatra akasema kwamba tayari vibali vya kutumia Route ya Ilemela - Nyasaka - Igoma Ilishatolewa ila ni nani wa kupeleka gari lake huko!?? Maana walishazoea barabara zilizo sawia kwani haziumizi gari na kutumia mafuta kwa wingi.

Ukiangalia Barabara ya Nyasaka - Igoma utaona mabonde na miinoku ya kutosha. Je nani yuko tayari kupeleka gari lake huko??

Ila ngoja shopping mall ikamilike ndiposa wataona umuhimu wa kupita hiyo route, maana watatumia zaidi ya masaa mawili kusubiri foleni...
 
Last edited by a moderator:

Good Job CL. Ubarikiwe
 
Last edited by a moderator:
Jamani ikumbukeni basi na barabara ya Igogo ile inayotoka pepsi mpaka Igogo secondary nakule binadamu wanaishi waheshimiwa
 
Ndo mall kubwa na ya kisasa zaidi afrika mashariki na kati
 
Good my home city.
Kwa Tanzania kwenye miradi kama hii wanamji asilia huwa hawana cha kujivunia.

Sana sana mtahamishwa kwenye maeneo yenu na "kutupwa" nje ya mji kwenye makazi mapya.

Inasikitisha kwa sababu kwenye miradi kama hii wanamji ndio ambao walitakiwa wapewe kipaumbele lakini si Tanzania.

pole.
 
Hiyo mall ipo fresh ikikamilika. Je,haitaweza kuleta trafic jam maana barabara ipitayo hapo ni single lane.
 
mim. ni
mmoja wa
mafund tunaofanya kaz za kubandika peving stone na tiles
0756181677
 

Attachments

  • 1415511232566.jpg
    108 KB · Views: 452
  • 1415511285974.jpg
    70 KB · Views: 428
  • 1415511315631.jpg
    85 KB · Views: 415
  • 1415511350340.jpg
    56.8 KB · Views: 422

Uko sawa ndugu
 

Hongera Mwanza. I love you Mwanza Home Sweet Home
 

Uko Sawa Ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…