Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
hyo kitu ni kama mliman city
mpaka dk hii naongea hakuna nafasi
pamejaa vigogo hapo
dah..,!
kwa hiyo siwezi kupata nafasi sasa hivi sababu ninampango wa kuweka biashara yangu humo cremoo
Last edited by a moderator: