Naipendatz JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 5,091 Reaction score 8,243 Oct 23, 2021 #141 mgayamapesa said: kwa hiyo machinga sio watz^utakuwa indalahamwe au una vinasaba vya kihutu Click to expand... Bongo zao bado haziwezi kuchambua nani anafaa kuwa Rais kwa maslahi mapana na ya muda mrefu ya nchi
mgayamapesa said: kwa hiyo machinga sio watz^utakuwa indalahamwe au una vinasaba vya kihutu Click to expand... Bongo zao bado haziwezi kuchambua nani anafaa kuwa Rais kwa maslahi mapana na ya muda mrefu ya nchi
comte JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,834 Oct 23, 2021 #142 Marire said: Wale wahindi wenye temple zao pale makoroboi hawawapendi machinga wapange ule mtaa Click to expand... we mbaguzi
Marire said: Wale wahindi wenye temple zao pale makoroboi hawawapendi machinga wapange ule mtaa Click to expand... we mbaguzi
S Sanze M JF-Expert Member Joined Jul 20, 2021 Posts 4,138 Reaction score 8,641 Oct 23, 2021 #143 KingCobra95 said: Yulee mzee wa kwanza kasema Mungu kama anasikia afanye lolote?anamaanisha nn☹️ Click to expand... Mungu alishasikia siku nyingi na tayari amefanya, Mungu hapendi unafiki.
KingCobra95 said: Yulee mzee wa kwanza kasema Mungu kama anasikia afanye lolote?anamaanisha nn☹️ Click to expand... Mungu alishasikia siku nyingi na tayari amefanya, Mungu hapendi unafiki.
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 22,514 Reaction score 34,144 Oct 23, 2021 #144 Mchimba Chumvi said: Media zimejawa upumbavu zinashindwa kureport habari zenye faida zinafata habari laini za machinga? Kama nchi mpango wetu ni mmoja tu nchi iwe safi basi. Click to expand... Kwani habari za wamachinga siyo habari ?
Mchimba Chumvi said: Media zimejawa upumbavu zinashindwa kureport habari zenye faida zinafata habari laini za machinga? Kama nchi mpango wetu ni mmoja tu nchi iwe safi basi. Click to expand... Kwani habari za wamachinga siyo habari ?
M malinyi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2017 Posts 223 Reaction score 323 Oct 23, 2021 #145 Wakati wafanyakazi wananyanyasika walifurahi kwa sababu wao si wafanyakazi Wakati wafanyabiashara wanafilisiwa kwa kubambikiwa makodi wakifurahi eti watcha awanyooshwe Wakati wapinzani wanadhulumiwa na kuumizwa walifurahi na kukejeli eti wacha wanyooshwe wamezidi viherehere Sasa ni zamu yao, kuimba kupokezana Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Wakati wafanyakazi wananyanyasika walifurahi kwa sababu wao si wafanyakazi Wakati wafanyabiashara wanafilisiwa kwa kubambikiwa makodi wakifurahi eti watcha awanyooshwe Wakati wapinzani wanadhulumiwa na kuumizwa walifurahi na kukejeli eti wacha wanyooshwe wamezidi viherehere Sasa ni zamu yao, kuimba kupokezana Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
nizakale JF-Expert Member Joined Oct 23, 2019 Posts 4,033 Reaction score 2,949 Oct 26, 2021 #146 Kwani mimi nimesema naunga mkono machinga katikati ya Jiji ? We mbona unaonekana boya sana. Pumbavu kabisa. haha said: Kafie mbali rudi kwenu ila kupanga bidhaa hovyo noooo hata kije chama gan Click to expand...
Kwani mimi nimesema naunga mkono machinga katikati ya Jiji ? We mbona unaonekana boya sana. Pumbavu kabisa. haha said: Kafie mbali rudi kwenu ila kupanga bidhaa hovyo noooo hata kije chama gan Click to expand...
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 25,977 Reaction score 25,303 Oct 26, 2021 #147 Victoire said: Makoroboi si kama kariakoo. Wangewaacha tu hao wa makoroboi. Hakuna barabara za waenda kwa miguu hapo. Click to expand... Poleni huko Dada Vick
Victoire said: Makoroboi si kama kariakoo. Wangewaacha tu hao wa makoroboi. Hakuna barabara za waenda kwa miguu hapo. Click to expand... Poleni huko Dada Vick