fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
KUelekea uchaguzi mkuu, Mwanza kama zamani za miaka ya 2000, tatizo limebaki kuwa barabra zetu. Miaka hiyo nimekumbuka barabara ya city centre to Airport, ilikuwa kichomi cha hatari.
Leo Mwanza barabra bado ni tatizo kubwa, Kishiri-Buhongwa, Igoma Kishiri, Kishiri Fumagila, Buhongwa -Bulale, Buswelu-Busenga-Coca, Buswelu-Kahama, Airport-igombe-Kayenze, Nyakato - uswelu, Buzuruga-Mahina, Mahina-Bugando, Mahina -Nyangukukuru-Mkuyuni, Mahina-VicFish/Mwatex, Buswelu-Nyamhongolo-Igoma, Nanenane Ndofye Kishiri.
Barabara zote hizo ni tope na zinapitika kwa shida mawe makubwa sampo zinapasuka, barabara zote hizo zipo kwenye wastaniwa radius ya 8km tu kutoka city centre.
Swali ni je Angelina, Serikali kuu bado mnafikiria jiji lenye tope na barabara zisizopitika? Ile ya Nyakato Buswelu, Shule ya msingi Gedeli inakula vumbi kuliko masomo, kweli?
Hivi bajeti ya Manispaa ya ilemela ni chai, safari na posho tu? maana hakuna barabara hata moja mmejenga kama manispaa, ipi? kiseke ni worldbank. barabara ipi tangu muwe manisapaa imejengwa?