Je, upo uwezekano wa jiji la Mwanza kuongezewa manispaa nyingine?

Undava King

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
3,205
5,333
Leo hii Dar es salaam ina manispaa 5 ikiwa na watu milioni 5 lakini matazamio nikuwa na manispaa nyingine pale Mbagala hii yote ni katika kurahisisha na kuimarisha shughuli za kiutawala, huduma za kijamii na maendeleo ya watu kiujumla katika miji yetu.

Kwa muda sasa jiji la Mwanza limekuwa na halmashauri mbili tu, ambazo ni NYAMAGANA yenye hadhi ya jiji na nyingine ILEMELA yenye hadhi ya Manispaa.

Sasa kulingana na takwimu za hivi karibuni kuhusu idadi ya watu na makazi yao kunaipa nafasi gani Mwanza katika kinyang'anyiro cha kupewa manispaa nyingine mpya?

Mwanza mkoa idadi ya watu=3,699,872
Mwanza city (Nyamagana)= 594,834
Ilemela= 509,687
Jumla= Watu 1,104,521

Idadi ya makazi: Mwanza city=153,226 na ilemela=127,507
Jumla= Nyumba 280,733.

Jiji zima lina jumla ya kata 37 kwa maana ya Mwanza jiji 18 na Ilemela 19 na Kata zinazoongoza kwa idadi ya watu ndani ya Mwanza jiji ni;
Mahina=57,260
Igoma=57,263
Buhongwa= 67,254 na Kishili=63,054

Na kwa upande wa Ilemela: Buswelu=42,614 na Nyasaka=41,897.

Kwa upande wa kata zingine ambazo zipo katika halmashauri za wilaya za jirani yaani Magu na Misungwi ambazo tutegemee ikitokea kuundwa kwa halmashauri nyingine zitamegwa kuunda manispaa mpya ni pamoja na Kisesa(33,548), Bujora (31,787) Fella (11,346) Kanyelele (17,415) bulemeji(10,943) idetemya (25,095) Ukiriguru (11,903) na usagara (44,220)

Je, kwa mtizamo wako unaona kuna uwezekano hapo wa Mwanza kupewa halmashauri nyingine ya tatu hivi karibuni au mpaka tuipe tena miaka kumi mingine?
 
Naomba source ya takwimu zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote yanawezekana, kwani baada ya Sensa mengi yatafanyika kulingana na takwimu zilizopo na kwà kuwa ndio bajeti ya kwanza inaenda kujadiliwa baada ya kuhesabu watu na makazi, hata isipozingatiwa kwa sasa (yenyewe na nyingine zemye sifa ya kufanya hivyo) basi bajeti ijayo kuna kitu kinaweza kufanyika
 
Sasa kwa kuzingatia eneo la metro ambalo mimi sioni kama nikubwa kiivyo unahisi jiji linaweza kutanuliwa zaidi na kupata manispaa nyingine au wataongezea na vijiji vya pembezoni?
 
Hatuwezi jadili Kwa kuja na takwimu za kutunga kichwani kwako Ili kuridhisha ego Yako.

Naomba idadi ya watu kwenye Wilaya za Nyamagana na Ilemela kutoka NBS

Hata hivyo siku zote UKWELI hauitaji kutetewa, na kwa kulithibitisha hilo nakuongezea na taarifa za general za wilaya zote za mkoa wa Mwanza.

Upo uwezo wa kukupa hesabu ya idadi ya watu kwa kila kata kwa mkoa mzima ikiwemo jinsia, uwiano wa jinsia, makazi, average ya household size n.k lakini najua hilo siyo muda wake huu, hivyo fanya hesabu hapa chini kisha hamua moja kuziamini au kuzipotezea:-

Ukerewe DC (387,815) Magu DC (421,119) Mwanza city (594,834) Kwimba (480,025) Sengerema DC (425,415) Buchosa DC (413,110) Ilemela MC (509,687) na Misungwi DC (467,867)
 
Sengerema pekee Ina Wakazi zaidi ya 600k
 
Kwahiyo unabishana na takwimu au?
Anyway hizi takwimu kuna jambo hali-make sense ukijaribu kufikiri nje ya box ila nadhani wahusika wanajua kwa nini wameamua iwe hivyo.

Je waamini kuwa population ya Dar ndani ya miaka 10 ndiyo hiyo milioni 5 tuliyonayo sasa kutoka kwenye ile ya awali au Mwanza ndani ya miaka kumi kuongezeka watu kama 200,000 tu hivi tokea kwenye ile laki 800,000 ya mwaka 2012?
 
Hata hivyo siku zote UKWELI hauitaji kutetewa, na kwa kulithibitisha hilo nakuongezea na taarifa za general za wilaya zote za mkoa wa Mwanza.

Upo uwezo wa kukupa hesabu ya idadi ya watu kwa kila kata kwa mkoa mzima ikiwemo jinsia, uwiano wa jinsia, makazi, average ya household size n.k lakini najua hilo siyo muda wake huu, hivyo fanya hesabu hapa chini kisha hamua moja kuziamini au kuzipotezea:-

Ukerewe DC (387,815) Magu DC (421,119) Mwanza city (594,834) Kwimba (480,025) Sengerema DC (425,415) Buchosa DC (413,110) Ilemela MC (509,687) na Misungwi DC (467,867)
Mwaka 2012 kwimba ilikuwa na watu 406000...Leo 480000 ,ndani ya miaka 10 waongezeke watu elfu 80 tu ... Kuna kitu hakipo sawa...
Population ya sengerema naweza kukubaliana nayo ,,mwaka 2012 walikuwa na watu laki 6 ,,,sa hv laki 9 .ni saw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo siku zote UKWELI hauitaji kutetewa, na kwa kulithibitisha hilo nakuongezea na taarifa za general za wilaya zote za mkoa wa Mwanza.

Upo uwezo wa kukupa hesabu ya idadi ya watu kwa kila kata kwa mkoa mzima ikiwemo jinsia, uwiano wa jinsia, makazi, average ya household size n.k lakini najua hilo siyo muda wake huu, hivyo fanya hesabu hapa chini kisha hamua moja kuziamini au kuzipotezea:-

Ukerewe DC (387,815) Magu DC (421,119) Mwanza city (594,834) Kwimba (480,025) Sengerema DC (425,415) Buchosa DC (413,110) Ilemela MC (509,687) na Misungwi DC (467,867)
Hapa unaongea facts rafk angu ,,,,,,,sa hv so hater tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukerewe 191,217M 196,598F Total=387,815.

Magu 204,166M 216,953 Total=421,119.

Mwanza jiji 282,342M 312,492F Total= 594,834.

Kwimba 237,054M 242,971F Total=480,025.

Sengerema 209,066M 216,349F Total=425,415.

Buchosa 206,538M 206,572F Total=413,110.

Ilemela 241,137M 268,550F Total=509,687.

Misungwi 230,663M 237,204F Total=467,867.

Therefore; 1,802,183+1,897,689
Sum Total=3,699,872.
JamiiForums599058646_356x512.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom