Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,045
Siyo kazi ya polisi kuhukumu bali ni kazi ya mahakama kutoa hukumu polisi kazi yao ni kukamata na kumfikisha mahakamani kwa jinsi sheria inavyowataka,Naungana mkono na wewe, bahati mbaya polisi wetu huwa hawatumii common sense, hapo watamng'ang'ania huyo Mzee mpaka wamfunge maisha au wamnyonge, ila ukweli ni kwamba ni kweli hakuna mzazi ambaye aweza kudhamiria kumuua mwanae wa kuzaa, lakini pia polisi hawahawa huwaoni hawajisumbui lolote pale ambapo wafuasi wa ccm wanapoua mtu tena kwa kwa makusudi na hadharani, kisa anaeuawa anapokuwa ni mkosoaji wa serikali ya ccm basi polisi hujitoa ufahamu na kukaa kimya, (double standard hii).
Huyo mzazi kama mzazi ninamwelewa kuna muda unaweza kuwa umedhamilia kufunza ukajikuta unapitiliza na hili jambo linaweza kumtokea mtu yoyote.