Mwanyika: Sihusiki na kashfa ya Richmond

AYA AYA YALE MAMBO YETU YALEEEEEEEEE, YA KUPOTEZA LENGO LA MADA
wewe kwanza jina lako lenyewe linanipa mashaka !
__________________
YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !!
YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !!
YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !!YES WE CAN !!YES WE CAN !!
YES WE CAN !!YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !!
YES WE CAN !! YES WE CANYES WE CAN !! !!
YES WE CAN !! YES WE CAN !!
YES WE CAN !!

Sasa subiri obama akusikie unasema "we cant" !!
can we stick to the HOJA pliiz,
sir, sir, excuse me sir.. nani alisema Mwanyika ajiuzulu kwa sababu kaiba?
good question, i would like to know that too.
 
Hapa nazidi kuona uchafu unaoendelea kufanywa na huyu KADA MPINZANI, Naomba nikusihi mzee kama unaona huna cha kuzungumza ni bora ukakaa kimya kuliko kupost vitu visivyo na mantiki na kuvuruga watu hapa JF.

NAUNGANA NA MZEE INVISIBLE KWA MARA NYINGINE '' FICHA UPUMBAVU WAKO USIFICHE HEKIMA YAKO''

Hope u will understand​
 
Mzee wangu mnyalukolo!!,
Kuna kitu tunakiiita ''collective responsibility'', it doesnt mean kama WEWE ndio umefanya Blunder ila maofisa walio chini yako ndio wame tinyanga, get that??
 
how can you say "yes we will" if there is no possibility of doing something ? first you have to have the ability to do it (YES WE CAN) then comes the act of doing (WILL)!

Simply, you cant say "yes we will" if you "cant do it" !

Hillary alibugi ndio maana hatumii tena hiyo !

Mwalimu Kada, nimeipenda sana hii, nadhani imekaa kiutu uzima kweli kweli. Thanks!!
 
Huyu Mwanyika nae asituletee utoto wa kujibu asichoulizwa. Hakuna aliyemwambia ajiuzulu kwa kuwa kaiba. Tunasema ajiuzulu, na hata Kamati ya Mwakyembe ilipendekeza hivyo, kutokana na UZEMBE wake uliosababisha serikali kuingia katika mikataba ya kitapeli. Tunasema hakufanya kazi yake kama alivyopaswa, na hii imetuletea hasara, ndicho tunachomdai. Sasa anatuletea ulimbukeni wa ati (bana pua) "sijaiba"!

Yaani anakuwa kama mtoto mdogo wa shule! Kuna kisa hiki nilikiona nilipokuwako mwalimu katika shule moja ya boarding.
Mwanafunzi aliyekuwa anatunza stoo ya jikoni aliigeuza kuwa mahali pa kujisomea na wenzake, akawa hafungi mlango. Siku moja hakuwepo kutwa nzima, wenzake wakaingia wakaiba matunda na paketi nyingi za "Maziwa Halisi" (yalikuwa na shepu ya pyramid) ambayo yalikuwa maalumu kwa ajili ya wanafunzi wagonjwa. Bahati yao mbaya, baadhi yao wakakamatwa na mpishi mkuu na kupelekwa kwa mwalimu wa zamu. Huko wakajitetea kuwa hawajaiba bali wamepewa na huyo mwenzao mtunza stoo. Utetezi wao haukukubalika, kwa hiyo wakaadhibiwa. Mtunza stoo aliporudi akaulizwa, akawakana wote, japo alikiri hakufunga mlango wa stoo. Tukamwambia ataadhibiwa kwa uzembe wake huo. Katika fomu aliyojaza ya kukubali adhabu (tulikuwa na utaratibu huo kwa adhabu zote zinazoumiza) akaandika "Mimi (jina lake) nakubali adhabu hii lakini sijaiba chochote". Tulikasirika sana, tukamuuliza "umeonewa?" Akakaa kimya! "Nani kasema umeiba?" akadai "mnaponipa adhabu sawa na walioiba mnamaanisha kuwa mie pia mwizi". Hapo tukakasirika zaidi tukaongeza ile adhabu maradufu, na kitisho kuwa akiikataa atakuwa "suspended". Alikubali adhabu ile. Yule kijana siku hizi ni marketing manager wa kampuni moja kubwa Dar na tukionana huwa anasema lazima anipe kinywaji, maana anasema alijifunza sana.

Moral of the story? Huyu Mwanyika inaelekea anahitaji "kuchangamshwa" kidogo, ili ang'amue kwa nini tunasema ajiuzulu. Kwa kuwa si mtoto wa shule hatuwezi kumchimbisha visiki, labda ashitakiwe rasmi mahkamani akajitetee huko, wanasheria wenzake watamsaidia kuona na kuelewa kwa nini "anaandamwa"!
 
Hivi wakuu mmeshindwa kuelewa ile speech ya Pinda alipokuwa anafunga session ya bunge lililopita? Alisema kuwa ataunda kamati ya kupitia mapendekezo na maamuzi ya Bunge.

Hapa kwa makusudi nadhani kuna vichwa vitaokolewa kwa mapendekezo ya kamati mpya ya PM. Ninahisi kuwa kuna dalili za kiutalaam kupindisha maamuzi ya Bunge. Na hii lawama iende kwa serikali.

Ninaposikia kauli za mwanyika na hosea inanipa shaka kuhusu umakini wa serikali yetu, hawa jamaa walipaswa kuenguliwa tangu ripoti ya ile kamati ya Mwakyembe kusomwa bungeni. Kama mpaka leo wanapeta na kutoa kauli za kibabe kuwa hawajiuzu kisa eti hawajaiba, basi nadhani kuna zaidi ya hapo. na ninawaona kama watu wasio fair kwani hiyo mishahara na alowances zao wajue ni kodi zetu na hatutaki wazitumie kwani wamekosa credibility za kushikilia nyadhifa zao.

MUNGU TUOKOE
 
Msanii,

mimi nilisema toka siku ya kwanza kuwa huyu Pinda kawekwa hapo na watu wa usalama (ambao mpaka sasa wanazuia uchunguzi wa Deep Green na makampuni mengine ya kifisadi) kwa makusudi kabisa na watu wakaniona chizi vile!

Sasa subiri uone hilo bunge linalofuata na hiyo speed ya six!
 
Last edited by a moderator:
Huu ni mwanzo wa mwisho.

Zamani zile viongozi wa SISIEMU walikuwa miungu watakatifu kwani chamchao ilidaiwa kuwa kimeshika hatamu na utamu wote. Mawazo yao yalikuwa sahihi na chochote walichosema ilikuwa ni ukaidi ujinga upuuzi na zaidi ni kuyaita maumivu ya vyombo vya dola mwilini mwako kusimama kidete na kuwapinga.

Pazia la utukufu na hesima walilojivika kwa muda mrefu ni kuu kuu limechakaa, lina matobo yasiyo julikana idadi yanayoanika aibu zao kwa wenye macho.
Sasa hivi hawajaribu tena kutuzuia kuwasema ila wanajaribu kuzuia tusiseme aibu tuionayo katika utupu wao, wanajaribu kufanya kazi ya pazia linalozidi kushindwa kuwasetiri katika uoza wao.

Hapa UESIEI kwa wenzetu kitu kama hiyo wanaiita Snowball effect.
Ukiiviringisha snow mpaka ifikie ukubwa wa mpira wa miguu na kuiachia kwenye kingo za mlima uliojaa snow , snowball ile itaendelea kuvingirika kwa kasi huku ikiongezeka diameter yake. Zoezi hilo litaendelea mpaka mteremko umalizike au itokee kwamba nature hairuhusu kitu chochote kuporomoka kwenye mteremko.

Kila dakika ipitayo ukbwa wake unaongezeka na hatari ya snowball ile kupasuka viapnde vipande inaongezeka.

Uhalifu mkubwa wa Kimafia unaendelea Tanzania kwa Baraka zote za SISIEMU ni Snowball.

Nani anaweza kuzuia snowball effect???

Hakuna.

Mafisadi wanawezafanikiwa kuhonga kila Mhariri wa Gazeti Tanzania lakini hawawezi kuwahonga waandishi wote Tanzania.
Na endapo watafanikiwa kumhonga kila aandikaye habari Tanzania basi
Mbwa,ng'ombe Paka,Mbuzi,kondoo,nguruwe,viunga vya manyasi, maua na hata miti mizuri ile ya Oysterbay itawasuta juu ya ufisadi wao.
Bahari Vile vile itawasuta.
Kila wimbi la bahari lifikapo ufukweni na kuvunjika nguvu yake litasikika likisema;

PHIIISAAADHIIIII! PHIIISAAADHIIII! PHIISAADHIII!

Sidhani kama kuna mheshimiwa atapenda tena kwenda huko beach.

Mwisho wenyewe utafika pale Uovu wao wote ukitimia na mafisadi wote kulipwa haki yao kila mmoja kwa kiwango anachostahili.

Snowball katika mteremko siku zote huhimiza mwisho wake kwa kuongeza ukubwa wake na kasi ya kuelekea chini. Kigingi au kizuizi kidogo katika njia yake siku zote huzua kiama cha snowball.

Siku zinavyozidi kwenda Serikali ya SISIEMU itatuonyesha yenyewe wapi pa kuichapa fimbo na wapi pa kuinyofoa vimelea vyake na kuvichoma moto.
Ni suala la muda tu.
 
mafisadi hawa wajiuzulu.....rostam.......mwanyika.....mbowe(nssf&vogue)....hosea(kutetea richmond)........!!!!
 
Heshima kwenu wakuu kwa post zenu murua
Mwafrika wa Kike,
Madela wa Madilu,
Waga,
Mamaparoko,
Kithuku,
Manda

ninaziunga mkono posts zenu
 
Hapa nazidi kuona uchafu unaoendelea kufanywa na huyu KADA MPINZANI, Naomba nikusihi mzee kama unaona huna cha kuzungumza ni bora ukakaa kimya kuliko kupost vitu visivyo na mantiki na kuvuruga watu hapa JF.

NAUNGANA NA MZEE INVISIBLE KWA MARA NYINGINE '' FICHA UPUMBAVU WAKO USIFICHE HEKIMA YAKO''

Hope u will understand​

your voice has been heard !

Kada would you like to delete this voicemail ?
Kada: ABSOLUTELY, TRASH IT !
 
Mwanyika atakuwa amejaa tele anamung'unya pensheni yake huku akitung'ong'a.

Seems lile file lake imeshafungwa na hakuna mjadala tena wa madudu aliyoshiriki kuyafanya kuliangamiza taifa kiuchumi
 
Back
Top Bottom