Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,001
- 288,262
Siyo kihalali tu bali hakushinda kabisa , mpaka leo wananchi wa kyela wanaandamana kwenda kwenye ofisi za mkurugenzi kudai atangazwe mwanyamaki .Hiv kumbe jamaa hakushinda kihalali?
Hatutakubali haki ipotee hivihivi , mwakyembe anaujua ukweli wote kwamba hakushinda , na kwa ushahidi uliokusanywa hatoki mahakamani .tafsiri ya demokrasia ya kweli kwa wana UKAWA ni kwamba, uchaguzi unatakiwa upigwe tena, tena na tena mpaka mgombea wao apate kura za kutosha.
Siyo kihalali tu bali hakushinda kabisa , mpaka leo wananchi wa kyela wanaandamana kwenda kwenye ofisi za mkurugenzi kudai atangazwe mwanyamaki .
Siyo kihalali tu bali hakushinda kabisa , mpaka leo wananchi wa kyela wanaandamana kwenda kwenye ofisi za mkurugenzi kudai atangazwe mwanyamaki .
Duuuuuh!!!
Na Gufuli angepingwa pia kama Sheria ingekuwa inaruhusu.
Lakini cha kushangaza mwakyembe kapewa 52% eti kwamba kapata kura 44,296Hii nchi inaboa sana kwani karatasi za vituoni huyo mwanyamaki si alishinda?
Hatutakubali haki ipotee hivihivi , mwakyembe anaujua ukweli wote kwamba hakushinda , na kwa ushahidi uliokusanywa hatoki mahakamani .
wee vp watangazwe wangapi ubunge? kama ana ushahidi aende mahakamani mwakyembe kashatangazwa mshindi.Siyo kihalali tu bali hakushinda kabisa , mpaka leo wananchi wa kyela wanaandamana kwenda kwenye ofisi za mkurugenzi kudai atangazwe mwanyamaki .
hebu acheni Majungu enyi WanyakyusaSiyo kihalali tu bali hakushinda kabisa , mpaka leo wananchi wa kyela wanaandamana kwenda kwenye ofisi za mkurugenzi kudai atangazwe mwanyamaki .
Umeandika kistaarabu sana mkuu , Mungu akulinde .Kwa mwakyembe kuna mengi sana. Tetesi zinasemekana kuna sanduku moja liliingizwa likiitwa Serengeti gani sijui ambalo wala halipo kyela. Wakala wa CHADEMA wakati anapinga kuhusu kura za sanduku lile akapigwa na ocd kwamba ana makelele. Nakala zote za kura za vituoni anazo mwamnyaki.
Zinaonyesha pamoja na hilo sanduku la bakshish mwakyembe alizidiwa.
Ninaona ushauri wa kwenda mahakamani ni mzuri. Tena awahi mapema kbla supu haijapoa.
Kinachotakiwa ni haki itendeke bila kujali ni mwakyembe au ni Mwamnyaki.
Haki huimarisha taifa.
Umeandika kistaarabu sana mkuu , Mungu akulinde .
Kwa mujibu wa sheria za nchi hii ni kwamba waziri anateuliwa kutokana na wabunge waliochaguliwa majimboni , sasa huyu katangazwa hakuchaguliwa .Watu wanatafakari kati ya Mwakyembe,Lukuvi na Mhongo nani waziri mkuu nyinyi mnaleta stori za ovyo kabisa humu.
Mbona mmchelewa sana wenzenu wanasonga mbele.
Sasa mbona mlimtelekeza bila msaada ? Mkasubiri mpaka agalagazwe ndio mumuokoe kwa mlango wa uani ! Haya sasa wananchi wa kyela wameuza mpunga na cocoa ili kugharamia kesi mahakama kuu .hebu acheni Majungu enyi Wanyakyusa
kwani ni lazima mshinde? kwa kumuangusha
Mwakyembe ni JEMBE kwa Tanzania nzima ndiye aliyemng'oa Lowassa
mlilipwa mkamdhalilisha na kote akashinda
sasa JPM atamchagua kuwa Waziri Mkuu wa Serikali yetu
sasa mumtake msimtake kwetu atapitia Wabunge maalum 10 wa Rais
tafsiri ya demokrasia ya kweli kwa wana UKAWA ni kwamba, uchaguzi unatakiwa upigwe tena, tena na tena mpaka mgombea wao apate kura za kutosha.
Sasa mbona mlimtelekeza bila msaada ? Mkasubiri mpaka agalagazwe ndio mumuokoe kwa mlango wa uani ! Haya sasa wananchi wa kyela wameuza mpunga na cocoa ili kugharamia kesi mahakama kuu .