Ndugu yangu, mimi ningefurahui zaidi iwapo angekuwa anachukua hatua stahiki pale anapotembelea na kukuta huo uozo. KUkagua tu miradi, kukemea, kuagiza na kuondoka bila kuhakikisha mabadiliko yanafanyika ili kurekebisha hali hiyo, haitatupeleka mbeleKwa kweli nimefurahishwa na staili yake ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ya Serikali! Naamini hamna sehemu ambayo ataitembelea TZ akakuta kuna usafi, hii ndiyo TZ yetu. Imejaa uozo, uozo mtupu, hamna cha CCM, CDM, CUF wala nini? Ni mind set zetu, corrupt country, kila mtu anakula ilipofikia kamba yake, naamini wasiokula kama mimi twaonekana wajinga na hatuna akili kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Avanti Nawasilisha!
Huku Kagera ndiye gumzo..........Muleba watumishi wako wanajinyea
alichokifanya mwanri nachukulia kama tv show!!!!sijamkubali wala nini......
Kwa kweli nimefurahishwa na staili yake ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ya Serikali! Naamini hamna sehemu ambayo ataitembelea TZ akakuta kuna usafi, hii ndiyo TZ yetu. Imejaa uozo, uozo mtupu, hamna cha CCM, CDM, CUF wala nini? Ni mind set zetu, corrupt country, kila mtu anakula ilipofikia kamba yake, naamini wasiokula kama mimi twaonekana wajinga na hatuna akili kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Avanti Nawasilisha!
Kawaulize wakaz wa njedengwa utapata jibu kuhusiana na huyo unayemuona mchapakazi wako.
Ameshawaliza masikini wengi.