Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Pipozii....... yote tisa,tunawangoja hao wabunge wa maccm majimboni!Mtakoma kulinga!
Mwaka huu wamekwisha habari zao maccm
Pipozii....... yote tisa,tunawangoja hao wabunge wa maccm majimboni!Mtakoma kulinga!
Rais wa Mbeya ni Joseph Mbilinyi aka SUGU!
Kama kweli Cheyo yupo bungeni kuwawakilisha watu wake, ilikuwa je akaikubali ile katiba ya CCM na kupinga maoni ya wananchi yaliyokusanywa na Warioba!!
UKAWA wanaume wa shoka.
Wanyantuzu noma, ukimsikia mnyantuzu kasema ''BIA'' usije ukadhani anataka beer. Akisema hivyo ujue hataki kabisa na ukilazimisha anakufyeka na shoka, majamaa kule yanasema ''mwaka ogo Ocheyo bia gete'' yaani hayamtaki kabisa.
Jaman si nilimskia kiranja akisema TOKENI TOKENI,au nakosema.......
Prof Mwandosya ni mwana diplomasia.
Cheyo ni mfa mji na mnafiki.
mwandosya kazi nzuri,
Mwandyosa mbona hasimami wakati kiti kinavyofanya unyanyasaji
Mkuu umenichekesha saana,hata Mimi Ni Mnyantuzu
ukweli movement hii inaendeshwa na Chadema. Hawakumsikiliza Rais anapoingia madarakani wamsikilie anapotoka madarakani?
Profesa Mwandosya safi sana. Ukija kuwa rais uje uhakikishe mapungufu yote yanayopelekea hali hii hayatokei
Ukawa ni wasaka vyeo tu