Ukawa hakuna kuingia hadi ikulu October. Piga huko CCM kama KANU
Cheyo hana jimbo tena, nasikia manyantuzu yamemwambia ametosha maana hajafanya chochote jimboni kwake
mwandosya ana matatzo.
to hell na ubabe awe rais wa mbeya huyu amesema vijana wanaotaka kuajiriwa waende nje ya nchi kutafuta kazi la wajiajiri
ukweli movement hii inaendeshwa na Chadema. Hawakumsikiliza Rais anapoingia madarakani wamsikilie anapotoka madarakani?
Profesa Mwandosya safi sana. Ukija kuwa rais uje uhakikishe mapungufu yote yanayopelekea hali hii hayatokei
Jamani Arfi, shibuda,Hamad,Leticia walikuwepo Bungeni?