nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
uprofesa aina hii ni kama uprofesa mwingine tu,karata tatu ukiweka hapa umeliwa,te teh.
haa haa ukiwa prof. ndani ya ccm unauacha mlangoni pindi uingiapo kwenye vikao vyao...
uprofesa aina hii ni kama uprofesa mwingine tu,karata tatu ukiweka hapa umeliwa,te teh.
Shutuma zote ziende kwa bi kiroboto
Kama walifukuzwa na SUPIKA huyo mzee anawaita kama nani?Uko sahihi Mkuu,tena Kuna wengine aliwataja kwa majina