figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,812
- 63,268
Kasema kuumwa kwake kumemuwezesha kujua aliishije na watu vilevile watu wanamchukuliaje. amefarijika jinsi watu walivyokuwa wakiulizia hali yake jinsi anavyo endelea na wengine kumtakia apone halaka. kawashukuru wote waliomtakia heri. amesema ugonjwa wake utabaki kuwa siri yake na doctor wake. Mia

Ndiyo matatizo ya kupost thread ukiwa Internet cafe. No link between kichwa cha habari na habari yenyewe!
Teh teh teh teeeeh!! Umenikumbusha mkuu, jamaa alikuja kwa mkwara mnene halafu kapiga kimyaaa!! Nadhani nae aliongwa suti!!!Tumbiri a.k.a ngedere ulikuja na mkwara mzito juu ya akina mwita25,faizafoxy,malaria sugu,topical..ulipotelea wapi au ban ilikuhusu tena?
Ndiyo matatizo ya kupost thread ukiwa Internet cafe. No link between kichwa cha habari na habari yenyewe!
Kasema kuumwa kwake kumemuwezesha kujua aliishije na watu vilevile watu wanamchukuliaje. amefarijika jinsi watu walivyokuwa wakiulizia hali yake jinsi anavyo endelea na wengine kumtakia apone halaka. kawashukuru wote waliomtakia heri. amesema ugonjwa wake utabaki kuwa siri yake na doctor wake. Mia
Ndiyo matatizo ya kupost thread ukiwa Internet cafe. No link between kichwa cha habari na habari yenyewe!
Kweli mkuu.
Kasema kuumwa kwake kumemuwezesha kujua aliishije na watu vilevile watu wanamchukuliaje. amefarijika jinsi watu walivyokuwa wakiulizia hali yake jinsi anavyo endelea na wengine kumtakia apone halaka. kawashukuru wote waliomtakia heri. amesema ugonjwa wake utabaki kuwa siri yake na doctor wake. Mia
Kama kweli amesema kuwa ugonjwa ni siri yake na Dakta wake basi mimi namwita mbinafsi. Wakati mwingine watu wanakuwa interested kufahamu unaumwa nini ili nao waweze kujua ni jinsi gani wachukue tahadhari ili wasiumwe kama wewe. Nadhani kama ugonjwa ni siri yake basi hata huko kuumwa kwake kulitakiwa kuwe siri, unless kama ana Ukimwi (unaochukuliwa kuwa ni ugonjwa wa siri)..!