KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Kitabu cha historia cha grade 6 kilicho andikwa na Haruna K.Joseph kinapotosha historia ya nchi hii kwa sababu mbili picha zilizowekwa zinzmpoteza msomaji!na maelezo yake! Kaweka bendera ya taifa ya sasa anasema ni ya Tanganyika je mtoto akipewa swali linahusu bendera ya tanganyika akasema ndiyo hii ya tanzania atakuwa amekosea?wakati kwenye vitabu inaonyesha bendera ya taifa kama ndo bendera ya tanganyika?,pili National emblem of Tanganyika haikua na maneno yasomekayo UHURU NA KAZI!Je wanaoharibu elimu ni watunzi wa vitabu au mitahala?