Mwandishi wa Gazeti la Majira ajiapiza ailaani CHADEMA

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,529
13,188
[h=3]CHADEMA kwa hili mmechemka[/h]

Na Gladness Mboma

ALHAMISI ya wiki iliyopita wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walimkamata Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Bi. Fatma Kimario kwa
madai kuwa walimkuta akifanya kikao na viongozi wa vijiji na kata ndani ya ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Isakamaliwa.

Kwanza kabisa kwa mtazamo wangu CHADEMA walichofanya ni makosa lisha ya kwamba walimdhalilisha kiongozi wa wananchi kwa kumvuta huku na huko huku wakitambua wazi kwamba kufanya hivyo ni kosa la jinai.

Kosa ambalo ama hakika bila ushabiki wowote wahusika wote wanapaswa kushtakiwa na kuchukuliwa hatua za kisheria haraka iwezekanavyo.

Ni hoji kwanza, hivi hawa wahuni wanaojiita makomandoo wa CHADEMA wameenda Igunga kwa misingi ya kumnadi mgombea wao ama kumdhalilisha kiongozi aliyewekwa madarakani na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Awali nilikuwa ninawakubali CHADEMA kutokana na sera zao za kuleta maendeleo lakini kwa uhuni huu uliofanywa na wanachama hao Igunga katu siwezi kusita kutamka kwamba wakipata nafasi ya kutawala nchi hii awachelewi kuwanyanyasa Watanzania kijinsia.

Tuzingatie kwamba, Bi. Kimario ni kiongozi wa nchi hawakustahili kumdhalilisha kiasi hicho, tena kibaya zaidi wanaume ndio waliohusika kumvuta mama huyo huku na huko kama mwizi.

Haiwezekani hizi ni vurugu ambazo zinatakiwa kupigwa vita na kukemewa kwa nguvu zote ina maana kiongozi ana mipaka ya kufanya mikutano?

Huyu ni kiongozi ana haki ya kufanya kikao mahali popote muda wowote na wananchi wake bila kubuguziwa ili mradi asivunje sheria.

Ina maana wakati huu kampeni za uchaguzi mdogo unaoendelea Igunga kiongozi yoyote wa serikali hatakiwa kufanya kikao na wananchi wake kwa kuhofia kuwa anapanga njama za ushindi wa chama fulani.

CHADEMA sasa mnakoelekea ni kubaya mlikuwa mnakwenda vizuri sasa vurugu zenu na ubabe wenu ndio utakaowakosesha kura na wala si vinginevyo.

Kwani mkifanya siasa na kampeni za ustaarabu hamtaonekana ndani ya jamii ama hadi kila siku muwe na jambo jipya linaloonesha udhalilishaji kwa ili nidhiriki kutamka kwamba wapumbavu siku zote huwa wanajitwalia makaa ya moto wenyewe hivyo siwafichi kwa stahili hii mnajiangusha wenyewe na mnajiua wenyewe.

Vurugu hazipendezi hata kidogo, huyu Mkuu wa Wilaya ana haki ya kufanya mkutano au kikao na viongozi wake kwa sababu kwa ni haki yake ya msingi ili kuharakisha maendeleo ya wananchi.

Katika suala hili hakuna ubishi ni lazima mchukuliwe hatua, watu waliomkamata na kumdhalilisha ni lazima sheria ichukue mkondo wake huu ni ukosefu wa nidhamu.

Hii ni hatari kwa maana hiyo kiongozi yoyote wa serikali wa Wilaya ya Igunga asifanye chochote kwa kuhofia vyama vya upinzani, jamani tuacha mawazo mgando huu ni uhuni kama siyo ujinga katika vichwa vya watu walioelimika.

Hata kama huyo mama alikwenda kinyume, lakini hakustahili kufanyiwa kitendo hicho hata kidogo ni udhalilishaji.
 
mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,569
185
CHADEMA kwa hili mmechemkaNa Gladness Mboma

Unamaanisha kiongozi aliyewekwa na rais anayo haki ya kuvunja taratibu na asichukuliwe sheria, Kumkamata mhalifu ni wajibu wa mtu yeyote pale pasipo kuwa na askari. Mama huyo ameiuka taratibu za uchaguzi

Vurugu unazozisema ni wewe ni hizo za DC kufanya vikao kinyume na taratibu za uchaguzi amekiri kukutwa na barua za watu kuomba kazi za usimamizi wa uchaguzi anahusika vipi na uchaguzi? HIZO NDIO VURUGU AMBAZO WOTE TUNAPASWA KUZIKEMEA KWA NGUVU ZOTE!

Mama huyo alikiuka kanuni(MOA) ya uchaguzi na anapaswa kuwajibishwa kwa hilo
 
mmbangifingi

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,839
554
Mwandishi naona ameandika kwa jazba sana akielezea tu upande moja akiacha kabisa upande wa pili, ameandika kishabiki zaidi than reality.
 
ben genious

Senior Member
Jun 4, 2011
176
23
Hili gazeti lilishapotezaga mvuto siku nyingi na wala sikumbuki nililinunua lini kwa mara ya mwisho,nashangaa mhariri kuachia uharo huu,mayo Mapinduzi wewe ndomhariri mkuu okoa gazeti lako au nawe unapewa ruzuku na ccm maana tumeona bajeti ya waaandishi wa habari iliyoandaliwa na ccm kule igunga
 
Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,529
13,188
Tangu kuanza kwa kampeni Igunga gazeti la majira limekuwa likiiandika chadema vibaya sana.Gazeti hili halioni jema lolote la chadema
 
MESTOD

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
4,799
1,996
CHADEMA kwa hili mmechemkaNa Gladness Mboma

ALHAMISI ya wiki iliyopita wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walimkamata Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Bi. Fatma Kimario kwa
madai kuwa walimkuta akifanya kikao na viongozi wa vijiji na kata ndani ya ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Isakamaliwa.

Kwanza kabisa kwa mtazamo wangu CHADEMA walichofanya ni makosa lisha ya kwamba walimdhalilisha kiongozi wa wananchi kwa kumvuta huku na huko huku wakitambua wazi kwamba kufanya hivyo ni kosa la jinai.

Kosa ambalo ama hakika bila ushabiki wowote wahusika wote wanapaswa kushtakiwa na kuchukuliwa hatua za kisheria haraka iwezekanavyo.

Ni hoji kwanza, hivi hawa wahuni wanaojiita makomandoo wa CHADEMA wameenda Igunga kwa misingi ya kumnadi mgombea wao ama kumdhalilisha kiongozi aliyewekwa madarakani na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Awali nilikuwa ninawakubali CHADEMA kutokana na sera zao za kuleta maendeleo lakini kwa uhuni huu uliofanywa na wanachama hao Igunga katu siwezi kusita kutamka kwamba wakipata nafasi ya kutawala nchi hii awachelewi kuwanyanyasa Watanzania kijinsia.

Tuzingatie kwamba, Bi. Kimario ni kiongozi wa nchi hawakustahili kumdhalilisha kiasi hicho, tena kibaya zaidi wanaume ndio waliohusika kumvuta mama huyo huku na huko kama mwizi.

Haiwezekani hizi ni vurugu ambazo zinatakiwa kupigwa vita na kukemewa kwa nguvu zote ina maana kiongozi ana mipaka ya kufanya mikutano?

Huyu ni kiongozi ana haki ya kufanya kikao mahali popote muda wowote na wananchi wake bila kubuguziwa ili mradi asivunje sheria.

Ina maana wakati huu kampeni za uchaguzi mdogo unaoendelea Igunga kiongozi yoyote wa serikali hatakiwa kufanya kikao na wananchi wake kwa kuhofia kuwa anapanga njama za ushindi wa chama fulani.

CHADEMA sasa mnakoelekea ni kubaya mlikuwa mnakwenda vizuri sasa vurugu zenu na ubabe wenu ndio utakaowakosesha kura na wala si vinginevyo.

Kwani mkifanya siasa na kampeni za ustaarabu hamtaonekana ndani ya jamii ama hadi kila siku muwe na jambo jipya linaloonesha udhalilishaji kwa ili nidhiriki kutamka kwamba wapumbavu siku zote huwa wanajitwalia makaa ya moto wenyewe hivyo siwafichi kwa stahili hii mnajiangusha wenyewe na mnajiua wenyewe.

Vurugu hazipendezi hata kidogo, huyu Mkuu wa Wilaya ana haki ya kufanya mkutano au kikao na viongozi wake kwa sababu kwa ni haki yake ya msingi ili kuharakisha maendeleo ya wananchi.

Katika suala hili hakuna ubishi ni lazima mchukuliwe hatua, watu waliomkamata na kumdhalilisha ni lazima sheria ichukue mkondo wake huu ni ukosefu wa nidhamu.

Hii ni hatari kwa maana hiyo kiongozi yoyote wa serikali wa Wilaya ya Igunga asifanye chochote kwa kuhofia vyama vya upinzani, jamani tuacha mawazo mgando huu ni uhuni kama siyo ujinga katika vichwa vya watu walioelimika.

Hata kama huyo mama alikwenda kinyume, lakini hakustahili kufanyiwa kitendo hicho hata kidogo ni udhalilishaji.

Waandishi wa aina hii wanataka ukuu wa wilaya tuu. Ukipata ukiboronga yatakukuta kama ya mama huyo. Kumbuka Tanzania ya leo siyo ya mwaka 1982.
 
shegaboy

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
213
34
Huyu ni mwongo na mnafiki na bila shaka umetumwa wewe mwandishi. Hivi unakumbuka kitendo kilichofanywa kwa mbunge wa CUF cha kupekuliwa na askari wa kiume kile mliona kinauhalali sana. Hila ilila CHADEMA kumkamata huyo DC unaiona wamekosea wewe ulitaka nani aje kumkamata kama kavunja sheria na pia DC anawezaje kufanya mkutano bila kuwa na ulinzi inaonyesha kuna kitu alikuwa anafanya. acha ushabiki kweli CCM wamakamatwa sasa wanataka kutafuta jinsi ya kuwatuliza CHADEMA imekula kwenu hiyooooooooooooo
 
twahil

JF-Expert Member
May 31, 2011
4,100
2,792
Mwandishi kazungumza ukweli kabisa.Kama uko mpinzan ukikosea nawe ukubali kukosolewa.Watz hawapaswi kusamehe upuuzi wa CDM wa kujichukulia sheria mkononi hasa vijana wa kiume kumshambulia na kumkamata mama wa kike.Chama cha siasa tangu lini kikawa na makamanda?,hapo mwandishi ndio anasema CDM mnakoelekea ni kubaya.Kumvua mama hijabu mmedhihirisha kuwa padre anachuki na uislam na waislam hatutawasamehe kamwe labda mtuombe radhi.
 
Bigaraone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
723
351
Hili gazeti lilishapotezaga mvuto siku nyingi na wala sikumbuki nililinunua lini kwa mara ya mwisho,nashangaa mhariri kuachia uharo huu,mayo Mapinduzi wewe ndomhariri mkuu okoa gazeti lako au nawe unapewa ruzuku na ccm maana tumeona bajeti ya waaandishi wa habari iliyoandaliwa na ccm kule igunga

Nafikiri kuna tatizo sana kwenye media industry ya Tanzania. Ukisikia kuwa gazeti la Majira linaye mhariri mkuu wa gazeti unapata tabu (mentally disturbed). Mwanzoni nilisoma habari hii nilihisi kuna figure head managing editor na kwamba kuna under cover guy ambaye anasaidia kufanya proof reading ya kazi/ habari/makala kabla ya kuchapwa. I confess was wrong. Sasa naona picha halisi ya mwariri mkuu na watoa habari wake. Labda woto mhariri na mleta habari wamekuwa waandishi by accident of history. Wanapaswa kuwa ni propagandist wa vyama visivyokuwa na vision the likes of CCM na TLP basi. Kuruhusu habari kama ya huyo reporter ambayo iko too biased, prejudiced and shallow ni kosa la mhariri mkuu . Lakini labda usimhukumu tumpe muda janvini ajitetee labda ilichapwa kimafya.
 
Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,517
1,345
"Huyu ni kiongozi ana haki ya kufanya kikao mahali popote muda wowote na wananchi wake bila kubuguziwa ili mradi asivunje sheria".
"Vurugu hazipendezi hata kidogo, huyu Mkuu wa Wilaya ana haki ya kufanya mkutano au kikao na viongozi wake kwa sababu kwa ni haki yake ya msingi ili kuharakisha maendeleo ya wananchi".
"Hata kama huyo mama alikwenda kinyume, lakini hakustahili kufanyiwa kitendo hicho hata kidogo ni udhalilishaji".

Nimependa hizi sehemu at least zinaonesha mwandishi ni mtu wa namna gani
 
dotto

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
1,725
252
CHADEMA kwa hili mmechemkaNa Gladness Mboma

ALHAMISI ya wiki iliyopita wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walimkamata Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Bi. Fatma Kimario kwa
madai kuwa walimkuta akifanya kikao na viongozi wa vijiji na kata ndani ya ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Isakamaliwa.

Kwanza kabisa kwa mtazamo wangu CHADEMA walichofanya ni makosa lisha ya kwamba walimdhalilisha kiongozi wa wananchi kwa kumvuta huku na huko huku wakitambua wazi kwamba kufanya hivyo ni kosa la jinai.

Kosa ambalo ama hakika bila ushabiki wowote wahusika wote wanapaswa kushtakiwa na kuchukuliwa hatua za kisheria haraka iwezekanavyo.

Ni hoji kwanza, hivi hawa wahuni wanaojiita makomandoo wa CHADEMA wameenda Igunga kwa misingi ya kumnadi mgombea wao ama kumdhalilisha kiongozi aliyewekwa madarakani na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Awali nilikuwa ninawakubali CHADEMA kutokana na sera zao za kuleta maendeleo lakini kwa uhuni huu uliofanywa na wanachama hao Igunga katu siwezi kusita kutamka kwamba wakipata nafasi ya kutawala nchi hii awachelewi kuwanyanyasa Watanzania kijinsia.

Tuzingatie kwamba, Bi. Kimario ni kiongozi wa nchi hawakustahili kumdhalilisha kiasi hicho, tena kibaya zaidi wanaume ndio waliohusika kumvuta mama huyo huku na huko kama mwizi.

Haiwezekani hizi ni vurugu ambazo zinatakiwa kupigwa vita na kukemewa kwa nguvu zote ina maana kiongozi ana mipaka ya kufanya mikutano?

Huyu ni kiongozi ana haki ya kufanya kikao mahali popote muda wowote na wananchi wake bila kubuguziwa ili mradi asivunje sheria.

Ina maana wakati huu kampeni za uchaguzi mdogo unaoendelea Igunga kiongozi yoyote wa serikali hatakiwa kufanya kikao na wananchi wake kwa kuhofia kuwa anapanga njama za ushindi wa chama fulani.

CHADEMA sasa mnakoelekea ni kubaya mlikuwa mnakwenda vizuri sasa vurugu zenu na ubabe wenu ndio utakaowakosesha kura na wala si vinginevyo.

Kwani mkifanya siasa na kampeni za ustaarabu hamtaonekana ndani ya jamii ama hadi kila siku muwe na jambo jipya linaloonesha udhalilishaji kwa ili nidhiriki kutamka kwamba wapumbavu siku zote huwa wanajitwalia makaa ya moto wenyewe hivyo siwafichi kwa stahili hii mnajiangusha wenyewe na mnajiua wenyewe.

Vurugu hazipendezi hata kidogo, huyu Mkuu wa Wilaya ana haki ya kufanya mkutano au kikao na viongozi wake kwa sababu kwa ni haki yake ya msingi ili kuharakisha maendeleo ya wananchi.

Katika suala hili hakuna ubishi ni lazima mchukuliwe hatua, watu waliomkamata na kumdhalilisha ni lazima sheria ichukue mkondo wake huu ni ukosefu wa nidhamu.

Hii ni hatari kwa maana hiyo kiongozi yoyote wa serikali wa Wilaya ya Igunga asifanye chochote kwa kuhofia vyama vya upinzani, jamani tuacha mawazo mgando huu ni uhuni kama siyo ujinga katika vichwa vya watu walioelimika.

Hata kama huyo mama alikwenda kinyume, lakini hakustahili kufanyiwa kitendo hicho hata kidogo ni udhalilishaji.

Mboma?????. Hongera umemaliza kazi kachukue mzigo wako uko tayari! Uandishi uliotukuka. Mwana Msaliti wa nchi yako! Mkoloni na mtumwa mawazo! Mtumwa mshiko wa ujira CCM uandishi! hufai dunia ya leo. Pole!!!
 
Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,881
1,124
Mwandishi kazungumza ukweli kabisa.Kama uko mpinzan ukikosea nawe ukubali kukosolewa.Watz hawapaswi kusamehe upuuzi wa CDM wa kujichukulia sheria mkononi hasa vijana wa kiume kumshambulia na kumkamata mama wa kike.Chama cha siasa tangu lini kikawa na makamanda?,hapo mwandishi ndio anasema CDM mnakoelekea ni kubaya.Kumvua mama hijabu mmedhihirisha kuwa padre anachuki na uislam na waislam hatutawasamehe kamwe labda mtuombe radhi.
ongelea hoja acha kuleta upuuzi wako hapa waislam hamtamsamehe nani?na unawakilisha waislam wangapi?
waislamu wote wameshagundua ccm ndiye adui wa uislam kupitia bakwata wewe na umbumbumbu wako unakuja na mambo ya kichochezi hapa.kila mtu najua cdm kwa namna moja au nyingine wamefanya kosa kama ambavyo polisi wanafanya makos,ccm anafanya makosa,serikali inafanya makosa,wananchi wanafanya makosa ni mfumo mbaya ulioasisiwa na ccm kila mpenda amani anatakiwa kulaani.
mbunge wa cuf alipekuliwa na askari wa kiume ni kosa,dc kakamatwa na vijana wa cdm ni kosa.sasaewe unakuja na ushabiki wako uliopitwa na wakati wa kidini sisi tunataka kila mtu katika nchi hii awe chini ya sheria.
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
43,222
25,689
Nalipa pongezi gazeti la Majira kwa kuandika habari za ukweli na uhakika.
Ni kweli wahuni wa CDM wanataka kuleta machafuko nchini wananchi wapenda amani hatuwezi kukubaliana na huo upuuzi
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Top Bottom