Mwandishi wa Dira apigwa na wanaodaiwa kuwa ni Green Guard ya CCM

Achebe,pengine wewe ndio Ester,kama Waitara alikuwa na bastola mbona polisi hawakumkuta na silaha yoyote?na hata kama mwandishi alikosea,nani amewapa green guard,kundi haramu,mamlaka ya kujichukulia sheria mkononi?

Mkuu huyo hayuko igunga, kazi yake ni kuratibu uhalifu unaofanywa na green guard akiwa mbali kidogo.

Ni miongoni mwa wale waliopigwa marufuku na gamba kuu rostam kukanyaga igunga.

Btw; huyo mwandishi aliyechezea kichapo jina lake ni nani na je polisi wamewachukulia hatua za kisheria hao mungiki wa ccm?
 
Wadau mimi nipo Igunga na usiku wa tukio nilikuwepo na nilishuhudia kwa macho yangu wala siyo kwa kusimuliwa kama mtoa mada alivyoiweka. CCM haikuenda hotelini kwa chadema bali kina mwita waitara walilivamia gari la Ester akiwa anatokea Silent Inn anakunja Mwanzugi Road barabara ambayo mbele kuna Missana Hotel ambayo wamefikia CDM na mbele yake kuna Peak hotel ambayo wamefikia CCM. Kifupi hotel ya CCM na ya CDM zipo karibu sana katikati ya hizo hotel mbili kuna hotel nyingine inaitwa Kilimanjaro ambayo wamefikia pia CCM parking ya CDM na CCM kwa upande wa Kilimanjaro hotel wanashare. So suala la Mwita kupiga risasi amelifanya mbele ya hotel ya Kilimanjaro sasa hiyo propaganda mnayoileta humu ndiyo inayochangia kuleta chuki na uhasama hasa kwa sisi ambao tupo huku kwenye field. Kupigwa kwa mwandishi kunatokana na kauli ya matusi aliyoitoa kuwatukana Green Guard. So msichukulie juu juu hili suala. Muulizeni mtoa mada aseme kwa nini vijana walimpa dozi mwandishi?
Mwongo mkubwa na laana zenu zitawarudi munazani CCM itattawala milele magazeti yote ya jumapili ukiacha mzalendo ya Jumapili wameeleza hatua kwa hatua jinsi hao wabunge wa CCM na wafuasi wao walivyovamia hiyo hoteli hamna aibu CCM,nyinyi na mwenyekiti wenu munataka kuuza mafuta uranium,tanzanite,nikel,gas kwa damu ya watanzania CCM chama hovyo hovyo hamna nyimbo na ingependeza kama wangewanyima kura pamoja na mapolisi wenu
 
Yule mwandishi wa dira aliyeripoti wabunge wa ccm kuvamia chadema,amepigwa na kuumizwa vibaya na green guard.

Alipigwa nje ya hotel ya peak walikofikia viongozi wa ccm,akitoka kufanya mahojiano na Ester Bulaya mmoja wa wabunge waliovamia hotel ya chadema,ndipo vijana wa ccm walipoanza kumpa kichapo
Watatapatapa hadi kuishiwa mbinu za ushindani,lakini CCM wajue tena wafungue masikio yao mazito hawawezi kushinda nguvu ya umma
 
Wadau mimi nipo Igunga na usiku wa tukio nilikuwepo na nilishuhudia kwa macho yangu wala siyo kwa kusimuliwa kama mtoa mada alivyoiweka. CCM haikuenda hotelini kwa chadema bali kina mwita waitara walilivamia gari la Ester akiwa anatokea Silent Inn anakunja Mwanzugi Road barabara ambayo mbele kuna Missana Hotel ambayo wamefikia CDM na mbele yake kuna Peak hotel ambayo wamefikia CCM. Kifupi hotel ya CCM na ya CDM zipo karibu sana katikati ya hizo hotel mbili kuna hotel nyingine inaitwa Kilimanjaro ambayo wamefikia pia CCM parking ya CDM na CCM kwa upande wa Kilimanjaro hotel wanashare. So suala la Mwita kupiga risasi amelifanya mbele ya hotel ya Kilimanjaro sasa hiyo propaganda mnayoileta humu ndiyo inayochangia kuleta chuki na uhasama hasa kwa sisi ambao tupo huku kwenye field. Kupigwa kwa mwandishi kunatokana na kauli ya matusi aliyoitoa kuwatukana Green Guard. So msichukulie juu juu hili suala. Muulizeni mtoa mada aseme kwa nini vijana walimpa dozi mwandishi?
Hivi wewe unagawanyika mara mbili? acha kuleta upenzi kwenye ukweli.
Kwa taarifa yako mtoa mada siyo yupo tu Igunga, bali yupo kwenye uwanja wa mapambano.
 
Wadau mimi nipo Igunga na usiku wa tukio nilikuwepo na nilishuhudia kwa macho yangu wala siyo kwa kusimuliwa kama mtoa mada alivyoiweka. CCM haikuenda hotelini kwa chadema bali kina mwita waitara walilivamia gari la Ester akiwa anatokea Silent Inn anakunja Mwanzugi Road barabara ambayo mbele kuna Missana Hotel ambayo wamefikia CDM na mbele yake kuna Peak hotel ambayo wamefikia CCM. Kifupi hotel ya CCM na ya CDM zipo karibu sana katikati ya hizo hotel mbili kuna hotel nyingine inaitwa Kilimanjaro ambayo wamefikia pia CCM parking ya CDM na CCM kwa upande wa Kilimanjaro hotel wanashare. So suala la Mwita kupiga risasi amelifanya mbele ya hotel ya Kilimanjaro sasa hiyo propaganda mnayoileta humu ndiyo inayochangia kuleta chuki na uhasama hasa kwa sisi ambao tupo huku kwenye field. Kupigwa kwa mwandishi kunatokana na kauli ya matusi aliyoitoa kuwatukana Green Guard. So msichukulie juu juu hili suala. Muulizeni mtoa mada aseme kwa nini vijana walimpa dozi mwandishi?

ha ha ha! Sa asiyejua km wewe ni NAPE nan? Ha ha, et upo field, kadanganye hao hao wakna mwita.
 
kwa hiyo una maanisha, green guard wana ruhusa ya kupiga raia, na si kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria..
 
Simfahamu Esther Bulaya ni mtu wa aina gani huko mtaani,lakini kwa mtu yeyote anayemfahamu huyo mbunge wa Sumbawanga mjini sidhani kama atashangaa akisikia amefanya hayo mambo ya kihuni. Nadhani mtakua bado mna kumbukumbu kwamba hata ubunge wenyewe alipata kihuni kwa kuchakachua. Huyo ni mtoto wa kihuni. Hao ndiyo vijana wa CCM!
 
Saga ya kurindima kwa risasi Igunga juzi ilimuhisisha Mh Ester Bulaya, leo tunaambiwa kuna mwandishi wa habari kapigwa jina la Ester Bulaya linajitokeza tena! Huyu binti ni mbunge wa viti maalum-ccm. Nadhani ni vizuri watu waanze kumuuliza kazi yake ni nini hasa huko Igunga? Inakuwaje kwenye matukio ya kutishia usalama wa maisha ya watu na mali zao yeye anakuwepo? Juzi alikuwa eneo la tukio saa nane za usiku, alitoka wapi mtoto wa kike usiku huo na kuja kwenye maegesho ya magari ya CHADEMA. She is slowly becoming black widow! Na kama sikosei kabla ya kuteuliwa ubunge, Ester alikuwa mwandishi wa habari lakini hadi sasa hajatoa kauli yoyote (kulaani) kupigwa kwa mwanataalum mwenzake. Sitoshangaa kusikia jina lake kwenye maafa makubwa kushinda haya lakini anatakiwa ajue kwa dunia ya sasa ya science na technology ni vigumu sana kuficha ukweli. Na hao wanaomtuma watamtosa kimoja! Amwone Uhuru Kenyatta, Kibaki anakula kuku Ikulu yeye Uhuru yuko ICC.

Yule mwandishi wa dira aliyeripoti wabunge wa ccm kuvamia chadema,amepigwa na kuumizwa vibaya na green guard.

Alipigwa nje ya hotel ya peak walikofikia viongozi wa ccm,akitoka kufanya mahojiano na Ester Bulaya mmoja wa wabunge waliovamia hotel ya chadema,ndipo vijana wa ccm walipoanza kumpa kichapo
 
Saga ya kurindima kwa risasi Igunga juzi ilimuhisisha Mh Ester Bulaya, leo tunaambiwa kuna mwandishi wa habari kapigwa jina la Ester Bulaya linajitokeza tena! Huyu binti ni mbunge wa viti maalum-ccm. Nadhani ni vizuri watu waanze kumuuliza kazi yake ni nini hasa huko Igunga? Inakuwaje kwenye matukio ya kutishia usalama wa maisha ya watu na mali zao yeye anakuwepo? Juzi alikuwa eneo la tukio saa nane za usiku, alitoka wapi mtoto wa kike usiku huo na kuja kwenye maegesho ya magari ya CHADEMA. She is slowly becoming black widow! Na kama sikosei kabla ya kuteuliwa ubunge, Ester alikuwa mwandishi wa habari lakini hadi sasa hajatoa kauli yoyote (kulaani) kupigwa kwa mwanataalum mwenzake. Sitoshangaa kusikia jina lake kwenye maafa makubwa kushinda haya lakini anatakiwa ajue kwa dunia ya sasa ya science na technology ni vigumu sana kuficha ukweli. Na hao wanaomtuma watamtosa kimoja! Amwone Uhuru Kenyatta, Kibaki anakula kuku Ikulu yeye Uhuru yuko ICC.

Well said mkuu,

wasiwasi wangu ni kwamba huyu ''dada yetu'' hana mtu wa kumuwajibisha nyumbani, mwanamke gani anazurura usiku wa manane? Bila shaka ndio sababu ya akina mwigulu mchemba kufumaniwa!
 
Natabiri machafuko mwaka 2015,maana CCM watakataa kushindwa na Chadema watakataa kunyimwa ushndi..hapo thatha
 
Kila jambo lina wakati wake,...kuna wakati wa amani na wakati wa vita.
we have to fight,yes hata kama kufa kwetu kutakua
catalyst ya Tanzania mpya sawa tu.

Filimbi itapulizwa Igunga,andaeni siraha zenu
 
Si uchochezi mkuu hata mwanao akikushinda inabidi umchape kidogo ili aweze pata adabu kidogo na huyu mwandishi mwache apate kibano asichezee chama tawala hata kidogo
Acha pumba,unatumia kitu gani kufikiri wewe?Sijawahi kutana na Makupa hopeless kama wewe..I really doubt uwezo wako wa kufikiri.Seriouslly!Kuna mawazo ya tofauti na kuna pumba za tofauti.Hizi ni pumba to the fullest!Wewe ni mjinga kabisa.Unafananisha uhuru wa habari na familia yako?Ama na chama chako cha magamba?Pumbavu kabisa!Halafu waandishi ndo watoto wako?Ni mbege ama gongo?Damn!Ama kweli kuna watu na kuna "Viatu"
 
Mkuu Mwita Maranya kwasababu Esther Bulaya ni mtu mzima kuwa nje muda huo siyo tatizo,yupo huru kufanya anavyotaka. Mashaka yangu yanaanza na aina ya kampani aliyokua nayo. Huyo jamaa wa Sumbawanga. Na anasema eti muda huo wa saa 8 usiku wenzake aliokua nao walikua wanaelekea Singida! Ile kambi ya green guards tuliambiwa ilikua Singida. Na juzi boss wao Mukama alitoa madai mazito ya kuituhumu CDM kwamba imepeleka makomandoo Igunga. Mimi naamini hii kitu ilikua imepangwa,ili mwisho wadai CDM inahusika. Pengine Polisi watwambie kwamba silaha iliyotumika haijasajiliwa,kama imesajiliwa wanajua kwa aina ya maganda ya risasi ni silaha ya nani kati ya Mwikabe na huyo Hilal.
 
Waliompiga sio green guard bana ni waumini wa kiislam wakihamasishwa na bakwata

Zungumzia hoja sio kuchanganya mambo ya siasa na udini. Waumini wa Kiislamu hawana mkono katika hili bali Wang'angania na Wapora madaraka wa CCM na vikaragosi wao wanaojifanya ni viongozi wa Bakwata.
 
Acha pumba,unatumia kitu gani kufikiri wewe?Sijawahi kutana na Makupa hopeless kama wewe..I really doubt uwezo wako wa kufikiri.Seriouslly!Kuna mawazo ya tofauti na kuna pumba za tofauti.Hizi ni pumba to the fullest!Wewe ni mjinga kabisa.Unafananisha uhuru wa habari na familia yako?Ama na chama chako cha magamba?Pumbavu kabisa!Halafu waandishi ndo watoto wako?Ni mbege ama gongo?Damn!Ama kweli kuna watu na kuna "Viatu"
naamini kabisa huyu mwandishi wa habari ana..
 
Back
Top Bottom