Mwandishi wa Dira apigwa na wanaodaiwa kuwa ni Green Guard ya CCM

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,200
1,692
Yule mwandishi wa dira aliyeripoti wabunge wa ccm kuvamia chadema,amepigwa na kuumizwa vibaya na green guard.

Alipigwa nje ya hotel ya peak walikofikia viongozi wa ccm,akitoka kufanya mahojiano na Ester Bulaya mmoja wa wabunge waliovamia hotel ya chadema,ndipo vijana wa ccm walipoanza kumpa kichapo
 
EJR Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,644
1,367
unafahamu madhara ya kupigana?vita havina macho!siku pakichafuka hakuna atakayenusurika,ndege zitaondosha wazungu tu nyie wabongo mtabaki humuhumu ili mpeane heshima.chunga kauli zako mkuu
Hata wewe kama unajeru waweza kukwea pipa kama wanzungu tu
 
Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,144
3,188
Ni hulka ya viongozi dhaifu kutumia nguvu pale inapotokea kwamba wameshindwa kuwashawishi watawaliwa kwa maneno kupitia majukwaani. Kwa kuwa CCM hivi sasa haina tena uwezo wa kuwashawishi watanzania wakaikubali, njia rahisi na ya mkato kwake ni mabavu.

Amini nawaambieni CCM ndo itakayoleta vita katika nchi hii. Maana ndiyo yenye polisi, jeshi na bunduki. Kwa hiyo kwao kuanzisha vita haitakuwa shida. Wakati wenzetu kule Rwanda waliuana kwa misingi ya ukabila, sisi tutauana kwa misingi ya vyama na dini. Na waanzilishi wa haya yote ni CCM, ndiyo hawa CCM waliopanda mbegu ya udini ambayo hivi sasa imeota na kupevuka sana mijini na mashambani huku BAKWATA wakiajiliwa kuimwagilia maji mbegu hii ili ikue na kutoa mazao. Hatujui mazao hayo yatakuwa ya aina gani na yenye madhara kiasi gani hapo yatakapokomaa.

Ni CCM hao hao walianzisha utaratibu wa kuchelewa kutangaza matokeo katika majimbo yale yote ambayo upinzani ulielekea kushinda au ulishinda. Kigugumizi hiki ndicho kilichopelekea vurugu kwenye baadhi ya majimbo huko Arusha, Mwanza na Mbeya.

Ni CCM pia ambayo imewageuza watanzania wa Mbagala na Gongolamboto kuwa specimen za kufanyia mazoezi ya jeshi, huku mamia ya watu wakimwaga damu bila sababu. Mwisho wa ubaya huu, hapatatosha, nyie subirini tu. Nawaambieni hapatatosha. Kama mnaona hii nchi ni kubwa sana, basi hapatatosha.
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,547
Dawa ya kiherehere ni ndogo tu piga kadri unavyoweza

Bila shaka una makalio madogo yenye tundu kubwa sana. Mwandishi wa habari amepigwa akiwa kazini bila sababu na wewe unashabikia. Au ulitaka awe anaandika habari mbaya za chadema? Kama siyo kazi za waandishi wa habari hata wewe usingeijua hata hiyo ccm unayoishabikia. Watu kama nyie hakuna sababu ya kuwepo duniani.
 
valid statement

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
2,850
861
Bila shaka una makalio madogo yenye tundu kubwa sana. Mwandishi wa habari amepigwa akiwa kazini bila sababu na wewe unashabikia. Au ulitaka awe anaandika habari mbaya za chadema? Kama siyo kazi za waandishi wa habari hata wewe usingeijua hata hiyo ccm unayoishabikia. Watu kama nyie hakuna sababu ya kuwepo duniani.

some people are alive bcoz it is illegal to kill them.bora uwe mlemavu wa mwili kuliko kuwa mlemavu wa kufikri.
 
ngwendu

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
1,965
174
Yule mwandishi wa dira aliyeripoti wabunge wa ccm kuvamia chadema,amepigwa na kuumizwa vibaya na green guard.

Alipigwa nje ya hotel ya peak walikofikia viongozi wa ccm,akitoka kufanya mahojiano na Ester Bulaya mmoja wa wabunge waliovamia hotel ya chadema,ndipo vijana wa ccm walipoanza kumpa kichapo
wadau mimi hii habari naitilia shaka. yaani hata mwanamke (Ester) naye alienda kuvamia? Au ndo kampeni zenyewe?
Please welcome someone with facts. I mean non bias one.
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom