Mwandishi Oscar Oscar achukua fomu kugombea nafasi ya Urais TFF

Namjua tokea akitoka Kufundisha Shule ya Msingi Wilayani Kinondoni huku akigombania 'DalaDala' na Musa Kawambwa ( sasa yupo Azam Media katika Redio yao ya Uhai FM ) kutokea pale zilipokuwa Ofisi za EFM Jengo la K-Net Kawe akiwa Hobela Hobela ( Choka Mbaya ) mno Kimaisha na Mdomo ukiwa umemkauka na Bahasha yake Kwapani.

Oscar Oscar ni mwana Simba SC ' lia lia ' kabisa japo kwa sasa nimeshangaa sana baada ya kupata Pesa kutokana na Kupigiwa pande Super Sports na Maulid Kitenge na Marehemu Ephraim Kibonde ( huku akianza kupata Exposure za Kusafiri nje ya nchi na kupanda Ndege mara ta Kwanza tena akiwa Ukubwani hivyo ) amebadilika na kuwa ni mwenye Dharau na Nyodo kiasi cha Kutushangaza wengi tunaomjua atokako na yaliyokuwa Maisha yake.

Nakataa na sijui kwanini mnamuita Oscar Oscar ni Mwandishi wa Habari wakati Kitaaluma si mwana Habari bali ni Mwalimu tu na Mchambuzi wa Soka na huu Uchambuzi ndiyo umemtambulisha mpaka Maulid Kitenge kumpigia pande EFM na akaachana na Ualimu wake uliokuwa ukimfanya avae Nguo zake za Kupauka 24/7 alipokuwa akianza Kuchambua Mpira EFM.

Hivi sasa Oscar Oscar anamalizia Shahada yake ya Mawasiliano ya Umma ( Mass Communication ) Tumaini University ya Mwenge akiwa ametanguliwa na akina Erick Shigongo ( sasa Mbunge ) na Florian Kaijage waliomaliza na Kuhitimu hapo hapo mwaka Jana Shahada zao za Kwanza.

Hata hivyo mlio karibu na Oscar Oscar mshaurini sana aachane na Anasa za dunia ( hasa Umalaya na Pombe ) kwani Pesa alizopata Ukubwani hivi na Kumiliki Gari lake la Harrier na Kupanga katika ' Appartment ' Kawe Beach zinamzuzua sana na kumpa Kiburi, Kujisikia na Kudharau kila Mtu kutokana na Ushamba ( Umbwiga ) wake aliokuwa nao kwa muda mrefu tokea Kijijini Kwao Kaliua Mkoani Tabora.

Kiuchambuzi hana ' Mpinzani ' Tanzania.

Cc: Ghazwat
Popoma linanichekeshaga sana..

Lina details za pundits na journalists utafiriki database za Google.
 
Popoma linanichekeshaga sana..

Lina details za pundits na journalists utafiriki database za Google.

Yaani huyu mwamba nadhani jamaa huwa wakimsoma wanabaki wanamkubali tu.

Ana taarifa ambazo hata wahusika wanaweza wasiwe nazo yaani.
 
Back
Top Bottom