Mwandishi aliyetia fora 2018 jukwaa la siasa

Mwandishi aliyetia fora 2018 jukwaa la siasa

Penda usipende, jukwaa la siasa ndio jukwaa pendwa na bora zaidi hapa Jamiiforums!

Kuna watu wametulisha vitu vya maana hii 2018 , kuna waliokuwa vinyonga na kuna waliotulisha matango pori mpaka tukavimbiwa!

Mimi binafsi, mwandishi bora wa Mwaka kwangu ni Barafu!

Je, wewe mkuu, kwako nani ametoa hoja, nani ametoa vioja?

Sent using Jamii Forums mobile app
kwangu mimi sio mmoja tu ni hawa hapa.

1. barafu
2. pascal njaa.
3. Quinine
4. zitto
5. Mzee Tupatupa wa Lumumba kwasasa anabangua korosho.
5. Erythrocyte.
6. mtumishi wa Umma.
7. Alexander the great.
8. .....
 
Pascal Mayalla humwelewi kwasababu hujataka kumwelewa we mwenyewe. Katika wachambuzi bora hapa jukwaani siwezi kumweka mkuu Pascal pembeni. Ana uchambuzi wa aina fulani ambao ili umwelewe unahitaji uwe na upeo fulani wakukonekti dots alafu uibuke na information moja ambayo ndio hitimisho la hoja yake.
Pascal ni mwandishi anayejua kucheza na mazingira; msimamo ni ule ule wa kukosoa au kuelimisha ila njia ya ufikishaji ujumbe ndio tofauti. Pascal akikuongelea unawezazania anakusifia kumbe katika kukusifia huko ameyadhihilisha madhaifu yako mengi tu.
Wengi wanamponda kwasababu ya upungufu wa ueledi wa tasnia nzima ya kiuandishi waliyokuwa nayo but he is among the bests
Barafu
P. Mayala (japo huyu kuna wakati haeleweki)

Na wengineo wengi tu kasoro walamba makalio wa Lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Penda usipende, jukwaa la siasa ndio jukwaa pendwa na bora zaidi hapa Jamiiforums!

Kuna watu wametulisha vitu vya maana hii 2018 , kuna waliokuwa vinyonga na kuna waliotulisha matango pori mpaka tukavimbiwa!

Mimi binafsi, mwandishi bora wa Mwaka kwangu ni Barafu!

Je, wewe mkuu, kwako nani ametoa hoja, nani ametoa vioja?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimtaja mwandishi bora mmoja tu hapa jukwaani utakuwa umekosea kwasababu kila mtu ana utaalamu wake na pale linapoletwa jambo ambalo linahusu tasnia yake lazima autendee haki mchango wake. So mi nadhani wapo wengi tu ila barafu Pascal Mayalla Salary Slip hao ni miongoni mwao


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barafu nimemvulia kofia, usishangae akalazimishwa kujiunga ccm kwa lazima. Na akikubakia akajiunga ccm hoja zake itakuwa bora ya hoja za kina jingalao, yehodaya & the likes
Unawezaje kujua au kufahamu kama sio ccm, mi nilidhani ndiye mkurugenzi wa TCAA. Maana kawa busy siku hizi ndege nyingi zinaongezeka kila kukicha na hawezi kujikosoa.
 
Back
Top Bottom