Junior Nicky
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 607
- 594
Hahaha kama Gentamycin naye yumo basi msimsahau Britanica na coccochanel
Hahaha kama Gentamycin naye yumo basi msimsahau Britanica
GENTAMYCINE THE GREATPenda usipende, jukwaa la siasa ndio jukwaa pendwa na bora zaidi hapa Jamiiforums!
Kuna watu wametulisha vitu vya maana hii 2018 , kuna waliokuwa vinyonga na kuna waliotulisha matango pori mpaka tukavimbiwa!
Mimi binafsi, mwandishi bora wa Mwaka kwangu ni Barafu!
Je, wewe mkuu, kwako nani ametoa hoja, nani ametoa vioja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi kwenye hiyo list sitoshi. Mimi ni kenge kwenye msafara wa mamba.
Kwa hiyo Jiwe anaongoza eti eeh!Wakuu mkiwa mnamsifia barafu kwa michango yake ya hoja msimsahau na jiwe kama chanzo cha hoja hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha haijazuiliwa. Ukijisikia jitaje tu hakuna judge wa hili.Naona dalili ya baadhi ya wadau kujitaja kwa id zao za pembeni..
Mkuu acha kuji under estimate, Mimi ni mpenzi wa jukwaa hili naona michango yako kwenye hili jukwaa na pia inaleta tija, kwangu mkuu you are the best
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo Maana hujatajwa,..Mkuu mimi kwenye hiyo list sitoshi. Mimi ni kenge kwenye msafara wa mamba.