Mwandishi aliyetia fora 2018 jukwaa la siasa

Mwandishi aliyetia fora 2018 jukwaa la siasa

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Posts
4,346
Reaction score
9,846
Penda usipende, jukwaa la siasa ndio jukwaa pendwa na bora zaidi hapa Jamiiforums!

Kuna watu wametulisha vitu vya maana hii 2018 , kuna waliokuwa vinyonga na kuna waliotulisha matango pori mpaka tukavimbiwa!

Mimi binafsi, mwandishi bora wa Mwaka kwangu ni Barafu!

Je, wewe mkuu, kwako nani ametoa hoja, nani ametoa vioja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa akianza kuongelea masuala ya Usafiri wa Anga lazima upasuke kichwa .. the guy ni intelligence

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa anaanza kukupiga historia murua Halafu ndio inaanza lecture
Hakuachi Hivi Hivi anatoa suggestions
Hawataki wanaacha
Siku Akija anakumbusha nilishauri hiki na unaona majibu

Yani nikiona post yake naweka like nakuja kuchukua nondo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barafu nimemvulia kofia, usishangae akalazimishwa kujiunga ccm kwa lazima. Na akikubakia akajiunga ccm hoja zake itakuwa bora ya hoja za kina jingalao, yehodaya & the likes
 
Back
Top Bottom