Tofauti hapa ni kwamba ISIS wanaua kwa kuchinja kama anavyochinjwa kuku kwa kuwa dini yao inawataka kufanya hivyo. Hivi watoto wadogo si watazoea kuona damu na hivyo kudhani kuchinja binadamu mwenzako ni jambo la kawaida?
Watoto wanafundishwa vitu vya kiajabu.
Wanaofanya hivi vituko wanajiita dola ya Uislamu, hamna muislamu yeyote aliyejitokeza kulaani vituko vyao. Wakristo wengi tushalaani vituko vya Lord resistance army, lakini nyie huwa mnashabikia, nashangaa kiongozi wenu hapa JF FaizaFoxy mbona amechelewa. Hebu tizama picha zilizopo kwenye link aliyoweka jamaa, watoto wanatumia simu kupiga picha vichwa vilivyokatwa huku wakicheka.
Wadau hiyo God moon ni kweli au uzushi?
Yesu alisema kuna watu wataua wakidhani wanamuhudumia Mungu. Watafanya hivyo kwa kuwa bado hawajamjua Mungu wa kweli
Nimeogopa kuangalia hiyo video. Imani za kuchinja watu kama kuku.
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii this is too devilish! no one will touch my clitories! uwiiiiiiiiiiii thats my everything, i wish i had two of them, sooooo enjoyable! loooool! this pipo should vanish frm this world, tufyakwa! na wah ooooo!
Watoto wakiume hao, wanafundishwa ujasiri ! ...........sio kufundishwa ushoga na kula unga ili waje wapewe kondomu na vyandarua kwa kubadilishana na dhahabu. lawmaina78
Ni hatari sana kuamini kuwa Mungu ana kiu ya damu za watu.....What kind of God do these people worship?
Hata Waprotestant na Wakatoliki wanauana pia !........Wahutu na Watusi wanauana na Wakikuyu na Wajaluo wanauana ..........hakuna tofauti !Sawa mnawapa mafunzo ya kuwaua Wakristo, lakini kumbuka mtu akisha kula nyama ya binadamu atageukia hadi wa kwake, sasa mnauwana kwa misingi ya eti Shia na Suni, itawakuta hata nyie.
Acheni uwongo tupeni ushahidi kwamba hiyo link ni ya muislam,inabidi mchuje baadhi ya mambo msiwe kama hamna akili.
Kwa uislam ni dhambi kwa mwanamke kuondolewa clitoris.
Kuna links nyingi kwenye internet zinajidai na za kiislam kumbe zinaandaliwa na wayahudi na wakristo ili kuuchafua uislam.
Aisei!! umeniharibia siku, duh!! hizo picha zinatisha kishenzi. Yaani ni majanga kujua tunaishi na watu wenye imani kama hizi hata huku EAC. Yaani inanipa picha tofauti sana kila nikimuona muislamu. Dah!! hii hata shetani anawaogopa hawa.
Ikifika mchana ntapita hapa...uzi huu unanuka damudamu hivi
Utawaona muda usio mrefu wakija kushabikia, afu wote wa huku Wabantu utaona wanashabikia vituko vya warabu, jameni mtu anachinjwa kama mbuzi mbele ya watoto wanaotabasamu, kweli dini gani inawafundisha watoto ukatili wa aina hii. Yaani dunia naona itapasuka muda usio mrefu, kama hii ndio taswira.
Mkuu sijakuelewa kuhusu hiyo
Criticizing or denying Allah, the moon god of Islam is punishable by death.
Mimi sijui mnayofundishwa kwenye misikiti, lakini jambo moja wazi ni kuwa kuna watu wanachinja wenzao wakidai kufanya hivyo kwa ajili ya uislamu na lakushangaza wengi wenu mnawashabikia ikiwa ishara hizo ndizo sera zenu. Kile huniuma ni eti tunakula na kuishi na nyie kila siku, yaani nikimuona muislamu afu nikumbuke yale wenzenu wanafanya, jameni nahisi kutapika. Mungu awasaidie sana.
Allah akbalu!
Taqbil...!!"
Hakika inatisha. Sijui wanalalaje usingizi baada ya kumchinja binadamu kama kuku