Mwandambo: Heche wewe ni mchafu, husafishiki kwa Press conference

Anachoongea Mwandambo kwa maandishi akimtuhumu Heche kwa Ufisadi, akisema kuwa Mnyika hawezi kumsafisha Heche kwani hasafishiki.

Anasema "Mnyika! Mnyika nakwambia, Heche ni mchafu. Yaani Heche hasafishiki. Ni mchafu hata huyo makamu mwenyekiti hamfai. Heche ni mchafu, tena aone aibu hata kushika hiyo nafasi. Nasema Heche ni mchafu. Heche hasafishiki, hasafishiki hata mgemshabikia namna gani.

Mnyika, unafikiri utamsafisha Heche kwa press conference? Kwa press conference? Au unafikiri mtamsafisha kwa kuwasimamisha viongozi wa Tanga na Morogoro kwenye uongozi? Mnafikiri mtamsafisha kwa kuwatisha wanachadema wasiseme chochote? Never! Never!

Heche ameshachafuka, ameshachafuka na tutakula naye sahani moja. Asipige ufisadi wakati yeye ni fisadi. Mwandambo anasema Heche, Heche umechafuka. Umechafuka tena sana! Nachoka Mwandambo, nachoka mzee Mwandambo. Nimemaliza mimi
."
Du! Huyu jamaa walimfanyia kitu mbaya. Dishi limeyumba. Kuna tetesi kuwa polisi walimfira
 
Nahisi huyu Mzee walimfangia kitu mbaya inabidi awe huko kupunguza trauma vingenevyo tutaona connection.
 
​
Anachoongea Mwandambo kwa maandishi akimtuhumu Heche kwa Ufisadi, akisema kuwa Mnyika hawezi kumsafisha Heche kwani hasafishiki.

Anasema "Mnyika! Mnyika nakwambia, Heche ni mchafu. Yaani Heche hasafishiki. Ni mchafu hata huyo makamu mwenyekiti hamfai. Heche ni mchafu, tena aone aibu hata kushika hiyo nafasi. Nasema Heche ni mchafu. Heche hasafishiki, hasafishiki hata mgemshabikia namna gani.
Jamaa ana mauno hatari, anakata kiuno kama hana mfupa!

Hivi huyu ndio yule Mwandambo alikamatwa kipindi fulani? Walimfanya nini huko polisi alipokamatwa? Naona kama yuko hamnazo hamnazo hivi?

Jamani, hakuna ndugu zake wamsaidie? Mgonjwa huyu, sio wa kumshutumu,ni wa kumhurumia.
 
Hata kama Heche kazipiga kweli mbona Mwamba alipozipiga hatukusikia hizi kelele zote?

CDM ishapata hadi hati za ukaguzi zenye mashaka kutoka kwa CAG na hatukuwasikia hawa watu!

Sasa hivi ndiyo wana uchungu sana na pesa za chama?

Huu ni mradi tu unasukwa na muda si mrefu lengo lake litakuwa wazi C& P.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ivi uyu mjinga yani unakaa unamsikiliza kabisa
 
Anachoongea Mwandambo kwa maandishi akimtuhumu Heche kwa Ufisadi, akisema kuwa Mnyika hawezi kumsafisha Heche kwani hasafishiki.

Anasema "Mnyika! Mnyika nakwambia, Heche ni mchafu. Yaani Heche hasafishiki. Ni mchafu hata huyo makamu mwenyekiti hamfai. Heche ni mchafu, tena aone aibu hata kushika hiyo nafasi. Nasema Heche ni mchafu. Heche hasafishiki, hasafishiki hata mgemshabikia namna gani.

Mnyika, unafikiri utamsafisha Heche kwa press conference? Kwa press conference? Au unafikiri mtamsafisha kwa kuwasimamisha viongozi wa Tanga na Morogoro kwenye uongozi? Mnafikiri mtamsafisha kwa kuwatisha wanachadema wasiseme chochote? Never! Never!

Heche ameshachafuka, ameshachafuka na tutakula naye sahani moja. Asipige ufisadi wakati yeye ni fisadi. Mwandambo anasema Heche, Heche umechafuka. Umechafuka tena sana! Nachoka Mwandambo, nachoka mzee Mwandambo. Nimemaliza mimi
."
Hili takataka nalo la kujilinganisha na Heche?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom