Mwanaume Wa Dar

Mwanaume Wa Dar

BORA KUOGOPA MENDE KULIKO NYIE MNAOOGOPA WAKE ZENU
baby_ake-20181011-0001.jpg
 
Hahahahahaaa kuna moja hiyo nilipata kwenye wasap ya group flani hivi kuhusu wanaume wa Dar, ngoja niiweke hapa sijui itakubali......

IMG-20181012-WA0006.jpg


Hahahahaha yaani nilicheka hadi basi.
 
Mwanaume wa dar hawezi panda juu ya mlango huyo ni mwanaume wa mkoani itakua kaangalia movie ya kutisha
 
...ni walaini alafu wanapenda maneno malaini kuliko...... nao wanadanga nowooo days.....kudamshi...my god ! ebooo! wajirekebishee
Oya lovely bird aje? Kudamshi ndiyo nini?
 
Viwanja vinauzwa vipo Yongwe na Mvuti anaehitaji anicheki kupitia 255 713 520 204| 255 625 654 637.
 
Back
Top Bottom