Mwanaume usimwachie mkeo hela chumbani

Pyepyepye

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
1,940
3,825
MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI

MWANAUME
Unamwachia mkeo hela ya Chakula Chumbani, Mke Anatoka na Kapu anaenda kununua Chakula, Anapika, Anawaambia watoto, Njooni Wanangu Mle Nimewapikia Chakula Kitamu, Watoto wakishakula Wanasema Asante Mama.

MWANAUME
Unamwachia Mkeo hela ya Nguo za Sikukuu Chumbani,
Kesho Yake mkeo Anatoka kwenda Kununua Nguo, Akirudi Anawaambia Wanangu Nimewanunulia Nguo za Sikukuu Njooni Mjipimie, Watoto Wakishajipima, Anawaambia Wanangu Mmependeza Eeee, Simnaona Ninavyowapenda
Watoto wanafurahi na Kusema Asante Mama,

MWANAUME
Kila Aina ya Pesa ya Matumizi Unamwachia Mkeo Hela Chumbani,

MWANANUME
Ukifika muda wa kutoa Ada Unamkabidhi Mkeo Hela Chumbani,
Kesho yake Mkeo Anawaambia Watoto kuwa Anaenda kuwalipia Ada ya Shule, Akirudi Anawaambia Wananhu nimeshawalipia Ada, Na gari za Shule Zitakua Zinawapitia, Nataka Msome Wanangu ili Baadae Mje Mnitunze, Watoto Wanasema Asante Mama.

KIBAYA ZAIDI
Ukifika muda wa kutoa Adhabu, Mkeo yeye hatoi Adhabu, Anawaambia Watoto, Ngoja Babayenu Arudi, Nawewe Ukirudi Unaelezwa na Mkeo matatizo ya Wanao, Unachukua Bakora Unawaadhibu Watoto, Bila kujua kuwa Unazidi Kujenga Uhusiano M'BAYA na Wanao.

NGUMU KUMEZA
Ukifika Uzeeni, Watoto wako Hawana KUMBUKUMBU Yoyote Ya Mema Uliyowafanyia.

NA
UKUMBUKE KUWA-->>
MTOTO ANAANZA KULISHWA SUMU YA MANENO KUTOKA KWA MAMAYAKE KUANZIA UMRI WA MIAKA 9 --- 15

MWANAUME KUWA MAKINI SANA

ZINGATIA HAYO KWA MAISHA YA UZEENI
 
ah sasa wewe kama unalijua hilo sii unajipanga tuu tuu mapema. kwani wee kwa mke umefuata watoto ili waje kukulea baadae ama umefuata papuchi....wacha yeye awajali zaidi sii ndio aliwabeba tumboni miezi yote tisa. y should u care eti kuwa watoto wanamjali mama yao zaidi wewe ulishagegeda basi unajipanga kinamna kwa ajili ya uzee
 
Kwenye swala la Watoto Wamama kwa kweli si waungwana kwa wa Baba!
Pia jipange uishi uzee mwema,usitegemee watoto au mke uzeeni umeumia,heri ununue hata SHAMBA sasa then uzee limepanda thamani uza kula kusogeza siku. Watoto wakija kuwatembelea mama anaachiwa laki 3 na nusu wewe unapewa elfu 50.Still matumizi yote mama atatoa utaambia we we uliepewa elf 50.
 
Sijaongelea swala la fedha, but general speeking na care, Mimi siwezi Omba laki 2,3,4,5,6,7,8 kwa Mtoto, hata siku moja, but just emotional support, I will have a very wealth old age
 
Ushafika huo umri?
 
Hiyo pia ni njia ya kujenga ukaribu na familia yako sio kila muda baba upo chumbani tu.
 
Fact usitegemee watoto waje kukusaidia ukizeeka, wew kama umekaa miaka yote hiyo bila kujipanga then usubiri msaada kwa watoto huo ni ujinga, pambana na watoto wapambane kivyao. Kwani nani alikuwa na shida na mwingine? Wew au yeye? So be responsible kwa ulicholeta duniani na siyo ulichokileta kiwe responsible na wewe
 
MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI

MWANAUME
Unamwachia mkeo hela ya Chakula Chumbani, Mke Anatoka na Kapu anaenda kununua Chakula, Anapika, Anawaambia watoto, Njooni Wanangu Mle Nimewapikia Chakula Kitamu, Watoto wakishakula Wanasema Asante Mama.

MWANAUME
Unamwachia Mkeo hela ya Nguo za Sikukuu Chumbani,
Kesho Yake mkeo Anatoka kwenda Kununua Nguo, Akirudi Anawaambia Wanangu Nimewanunulia Nguo za Sikukuu Njooni Mjipimie, Watoto Wakishajipima, Anawaambia Wanangu Mmependeza Eeee, Simnaona Ninavyowapenda
Watoto wanafurahi na Kusema Asante Mama,

MWANAUME
Kila Aina ya Pesa ya Matumizi Unamwachia Mkeo Hela Chumbani,

MWANANUME
Ukifika muda wa kutoa Ada Unamkabidhi Mkeo Hela Chumbani,
Kesho yake Mkeo Anawaambia Watoto kuwa Anaenda kuwalipia Ada ya Shule, Akirudi Anawaambia Wananhu nimeshawalipia Ada, Na gari za Shule Zitakua Zinawapitia, Nataka Msome Wanangu ili Baadae Mje Mnitunze, Watoto Wanasema Asante Mama.

KIBAYA ZAIDI
Ukifika muda wa kutoa Adhabu, Mkeo yeye hatoi Adhabu, Anawaambia Watoto, Ngoja Babayenu Arudi, Nawewe Ukirudi Unaelezwa na Mkeo matatizo ya Wanao, Unachukua Bakora Unawaadhibu Watoto, Bila kujua kuwa Unazidi Kujenga Uhusiano M'BAYA na Wanao.

NGUMU KUMEZA
Ukifika Uzeeni, Watoto wako Hawana KUMBUKUMBU Yoyote Ya Mema Uliyowafanyia.

NA
UKUMBUKE KUWA-->>
MTOTO ANAANZA KULISHWA SUMU YA MANENO KUTOKA KWA MAMAYAKE KUANZIA UMRI WA MIAKA 9 --- 15

MWANAUME KUWA MAKINI SANA

ZINGATIA HAYO KWA MAISHA YA UZEENI
Mimi hata wangepeana chini ya vungu, nilikuwa najua tu nani ndie kashika usukani wa familia, hilo sikua na shaka
 
Sijaongelea swala la fedha, but general speeking na care, Mimi siwezi Omba laki 2,3,4,5,6,7,8 kwa Mtoto, hata siku moja, but just emotional support, I will have a very wealth old age
Sasa kama umejipanga pressure ya nini mazeee?
 
Back
Top Bottom